Grealish10
Senior Member
- Mar 25, 2020
- 104
- 295
Mwanangu aliumwa usiku ghafla tukalazimika kwenda hospital ya karibu wakasema tumpeleke hospital ya ++++ kufika pale saa 8 usiku wanasema network hakuna hadi irudi wamekuja kumuhudumia asubuhi saa 4 mtoto keshalegea anatapika damu nyeusi tumemlaza kitandani wakaniagiza mavitu mengi kumbe mtoto amekata roho kwa uzembe wa madaktari naumia sana sana...mwanangu kachomwa chomwa kateseka kafariki kwenye maumivu makali sana kwa uzembe nisamehe mwanangu na ulale salama kama ningekuwa na pesa usingefariki maana maskini nimeganda na wewe masaa 7 hospital bila msaada, kwanini wasingemuhudumia mtoto jamani naumia sana mimi jamani
Pole sana, ila kwa Tanzania yetu ya leo usipoitaja hiyo hospitali huu uzi utakuwa hauna maana, hii sio kuwachongea wenye hospitali bali itasaidia kuepusha wengine wasije kuwa wahanga wa kilichokutokea...Mwanangu aliumwa usiku ghafla tukalazimika kwenda hospital ya karibu wakasema tumpeleke hospital ya ++++ kufika pale saa 8 usiku wanasema network hakuna hadi irudi wamekuja kumuhudumia asubuhi saa 4 mtoto keshalegea anatapika damu nyeusi tumemlaza kitandani wakaniagiza mavitu mengi kumbe mtoto amekata roho kwa uzembe wa madaktari naumia sana sana...mwanangu kachomwa chomwa kateseka kafariki kwenye maumivu makali sana kwa uzembe nisamehe mwanangu na ulale salama kama ningekuwa na pesa usingefariki maana maskini nimeganda na wewe masaa 7 hospital bila msaada, kwanini wasingemuhudumia mtoto jamani naumia sana mimi jamani
Pole sana, hii sio mara ya kwanza kwa matukio kama haya!.Mwanangu aliumwa usiku ghafla tukalazimika kwenda hospital ya karibu wakasema tumpeleke hospital ya ++++ kufika pale saa 8 usiku wanasema network hakuna hadi irudi wamekuja kumuhudumia asubuhi saa 4 mtoto keshalegea anatapika damu nyeusi tumemlaza kitandani wakaniagiza mavitu mengi kumbe mtoto amekata roho kwa uzembe wa madaktari naumia sana sana...mwanangu kachomwa chomwa kateseka kafariki kwenye maumivu makali sana kwa uzembe nisamehe mwanangu na ulale salama kama ningekuwa na pesa usingefariki maana maskini nimeganda na wewe masaa 7 hospital bila msaada, kwanini wasingemuhudumia mtoto jamani naumia sana mimi jamani
Wewe ni sehemu ya huo uzembe pia. Baba wa mtoto yupo wapi? Hospitali ni moja tu hapo ulipo?Mwanangu aliumwa usiku ghafla tukalazimika kwenda hospital ya karibu wakasema tumpeleke hospital ya ++++ kufika pale saa 8 usiku wanasema network hakuna hadi irudi wamekuja kumuhudumia asubuhi saa 4 mtoto keshalegea anatapika damu nyeusi tumemlaza kitandani wakaniagiza mavitu mengi kumbe mtoto amekata roho kwa uzembe wa madaktari naumia sana sana...mwanangu kachomwa chomwa kateseka kafariki kwenye maumivu makali sana kwa uzembe nisamehe mwanangu na ulale salama kama ningekuwa na pesa usingefariki maana maskini nimeganda na wewe masaa 7 hospital bila msaada, kwanini wasingemuhudumia mtoto jamani naumia
Mpe kwanza pole mwenzio, usiwe na moyo kama mfupa, khaa hii twabia sio njemaWewe ni sehemu ya huo uzembe pia. Baba wa mtoto yupo wapi? Hospitali ni moja tu hapo ulipo?
Pole sana mkuu unapitia kipindi kigumu sana yote yataisha japo inauma😞Mwanangu aliumwa usiku ghafla tukalazimika kwenda hospitali ya karibu wakasema tumpeleke hospital ya ++++, kufika pale saa 8 usiku wanasema network hakuna hadi irudi wamekuja kumhudumia asubuhi saa 4 mtoto kashalegea anatapika damu nyeusi. Tumemlaza kitandani wakaniagiza mavitu mengi kumbe mtoto amekata roho kwa uzembe wa madaktari.
Naumia sana, mwanangu kachomwa chomwa kateseka kafariki kwenye maumivu makali sana kwa uzembe.
Nisamehe mwanangu na ulale salama kama ningekuwa na pesa usingefariki maana maskini nimeganda na wewe masaa 7 hospitali bila msaada.
Kwanini wasingemhudumia mtoto jamani naumia sana mimi jamani
Tuwe na staha kidogo katika maswala ya uchungu. Hata baba angekuwepo sidhani angeweza zuia mauti ya kijana wake.Wewe ni sehemu ya huo uzembe pia. Baba wa mtoto yupo wapi? Hospitali ni moja tu hapo ulipo?
RIP chalii mdogo.
Hujui tu mazingira ya nchi yetu....hukupaswa kumnyoshea kidole mfiwa....vijijini huku tunavuja jasho ili pesa zije kuwaneemesha watu wa Daslam kwa miundo mbinu mizuri. Mnapendelewa sana huko mjini nduguWewe ni sehemu ya huo uzembe pia. Baba wa mtoto yupo wapi? Hospitali ni moja tu hapo ulipo?
RIP chalii mdogo.
Asante mkuu inauma sana sanaPole sana mkuu kwa kumpoteza mtoto.