Kifo cha mwanangu kipenzi kimetokana na uzembe

Kifo cha mwanangu kipenzi kimetokana na uzembe

Mwanangu aliumwa usiku ghafla tukalazimika kwenda hospitali ya karibu wakasema tumpeleke hospital ya ++++, kufika pale saa 8 usiku wanasema network hakuna hadi irudi wamekuja kumhudumia asubuhi saa 4 mtoto kashalegea anatapika damu nyeusi. Tumemlaza kitandani wakaniagiza mavitu mengi kumbe mtoto amekata roho kwa uzembe wa madaktari.

Naumia sana, mwanangu kachomwa chomwa kateseka kafariki kwenye maumivu makali sana kwa uzembe. Nisamehe mwanangu na ulale salama kama ningekuwa na pesa usingefariki maana masikini nimeganda na wewe masaa 7 hospitali bila msaada.

Kwanini wasingemhudumia mtoto jamani naumia sana mimi jamani
I bet hiyo hospital ni KCMC... Nimepoteza watoto wawili pale mwezi March na May mwaka huu.
 
Huyo mwanao unamlisha nini ndugu mpaka minyoo idondoke kwenye kaptura??au unamlisha viporo??
wewe una mtoto kweli? au umekuja kuchangia kiushabiki, siwezi kukujibu naona umeshakula BAN
Mtoto unaweza kumdhibiti hata mafua? licha ya pumu na homa kwa watoto walio chini ya miaka 5? unajua dawa za minyoo ni baada ya miezi mingapi na yupo Shule muda wote kurudi ni saa 11 jioni
[IMG alt="bugembe"]https://www.jamiiforums.com/styles/bannedavatar/avatar_banned_m.png[/IMG]

bugembe​

Senior Member​

Asante barikiwa sana
Pole sana naona mmeshamzika mpendwa wetu/
P/se safari nyingine jaribu kuwa karibu na Daktari yoyote hasa wa hizi Dispensary na awe anajua matatizo /magonjwa ya mara kwa mara yanayokunyemelea, na km ukipata mtoto tena uwe nae karibu.
Tatizo la Bima, (NHIF) kule kuna vijana, na wale wanapenda pesa sana wanaotumia mtandao kutafuta magonjwa hawana uzoefu watakuandikia tu madawa ili urudi kwa kuwa una Bima, siwakatai kuna Magonjwa makubwa ambayo yatahitaji Bima lkn magonjwa ya ghafla ya watoto km pumu, maleria nk hapo uwe nae Dr wa karibu
 
Mimi kuna siku mwanangu wa kiume mkubwa aliugua serious usiku saa 8 nipo nje ya kituo cha kazi ila ilinibidi tu niseme sina bima nitatoa cash ndo akapata huduma nzuri, maana hiyo hiyo hosp nakumbk nilipt ajali ya pikipiki nikaitajika kushonwa baadhi ya vidonda maana vilikuwa vikubwa ila huwezi amini nilifungwa tu wakanipa na tu dawa nikasepa, ikanibidi niende hosp ya wilaya nikapata matibabu maana najulikana
 
Kuna maana gani ya kuwa na bima halafu tena utembee na mapesa ?
Ni jukumu la bima kuhakikisha mteja anapata huduma bora na kwa wakati ,
Premium service haitakiwi iwe ya kuunga unga
Ni kwa faida ya nani.
Kupanda gari la luxury kwenda mbeya inatakiwa upewe na chakula ila kwnn huwa unachukua hela ya emergency , ya chakula., simu iwe na chaji na hata powerbank unakuwa nayo.
Je safari n muhimu kuliko afya
Tukubali mtoa post ni alikusudia kuua hyo mtoto ni muuaji
How comes masaa6 umemshikilia mtoto halafu hapati tiba umebaki kumwangalia tu badala ya kumpeleka hoapital nyingine
 
Sijuji kama unajua committment kwenye biashara
Premium service come with it , attachments of commitment, na watu wanaunua premium service wakia.ini kuwa watakuwa satisfied.
Huko first wold watu huwa wanadai laundry companies millions of dollars kwa suti ambayo haikufuliwa on time .
Jamaa kama yupo serious anaweza akawashtaki bima akajipoza na mkwanja wa kueleweka

.
 
Mwanangu aliumwa usiku ghafla tukalazimika kwenda hospitali ya karibu wakasema tumpeleke hospital ya ++++, kufika pale saa 8 usiku wanasema network hakuna hadi irudi wamekuja kumhudumia asubuhi saa 4 mtoto kashalegea anatapika damu nyeusi. Tumemlaza kitandani wakaniagiza mavitu mengi kumbe mtoto amekata roho kwa uzembe wa madaktari.

Naumia sana, mwanangu kachomwa chomwa kateseka kafariki kwenye maumivu makali sana kwa uzembe. Nisamehe mwanangu na ulale salama kama ningekuwa na pesa usingefariki maana masikini nimeganda na wewe masaa 7 hospitali bila msaada.

Kwanini wasingemhudumia mtoto jamani naumia sana mimi jamani
Kwa usumbufu wa malipo wanaotoa NHIF kwa watoa huduma ,ni ngumu sana kwa mtoa huduma za afya kuanza kukupatia hudumu kwa kutumia bima ya afya bila kupata Authorization (number) kutoka kwao.

Pole sana kwa kumpoteza mtoto wako, your lost ni 100% kwako lkn kwa hospital husika ni % ndogo sana.

Pole sana mkuu
 
Aisee pole sana, kwani si wangemtibu mtandao ukirudi wanaingiza taarifa za kadi tu?

Ila mkuu una moyo wa chuma, mimi niliwahi kuliamsha kisa tu kuagizwa dawa wakati wife anajifungua. Walisanda ndani ya dakika 5 tu. Japo wife alinimind sana alipojifungua kuwa hawagombani na daktari wakati una mgonjwa.

Pole kwa msiba, imani ya dini yangu inasema hapo alipoishi ndo aliandikiwa aishi umri huo. Huwezi zuia MUNGU akipanga jambo.

Pole.... Poleeee....

Huu ni mpango wa Mungu au uzembe wa daktari??

#YNWA
 
Pole saana mzee.

Kuna vitu vinakera, unaweza jikuta umemkandamiza mtu bisU la koo.
 
Ni mpango wa Mungu madaktari wawe wazembe ili tufe?
Kwani Mungu si anachukia wazembe?

#YNWA
Liverpool kwema Mkuu, Ile kampeni ya watu wasioe umeiacha? au watoto wako Kila mmoja anaishi na Mama yake [emoji1787][emoji1][emoji28] jokes
Mtoto hasa wa mwezi mmoja mpaka miaka 5 ni changamoto sana kwani ni kiumbe delicate asiyeweza kujielezea, hivyo lazima ucheze na Madaktari Kwa upole
 
Mwanangu aliumwa usiku ghafla tukalazimika kwenda hospitali ya karibu wakasema tumpeleke hospital ya ++++, kufika pale saa 8 usiku wanasema network hakuna hadi irudi wamekuja kumhudumia asubuhi saa 4 mtoto kashalegea anatapika damu nyeusi. Tumemlaza kitandani wakaniagiza mavitu mengi kumbe mtoto amekata roho kwa uzembe wa madaktari.

Naumia sana, mwanangu kachomwa chomwa kateseka kafariki kwenye maumivu makali sana kwa uzembe. Nisamehe mwanangu na ulale salama kama ningekuwa na pesa usingefariki maana masikini nimeganda na wewe masaa 7 hospitali bila msaada.

Kwanini wasingemhudumia mtoto jamani naumia sana mimi jamani
Pole mkuu Amin katika qadar ,it was meant to end like that
 
Back
Top Bottom