Ile ukifika hospital wanakuuliza Bima au Cash? Ukiwaambia bima...unaona kabisa morale wao unashuka....ila ukiwaambia cash...khaaa sijui mzuka unatokea wapi.....ndo kitu inanifanya mpaka sahv nina watoto wanne na sijawah kata bima ya afya hata siku moja.....walishanishawishi watu kufanya hvo...nikasema hapana....ntachofanya ni kuwa na saving tu...akaunt siwez maliza hela aisee....kwangu binafsi bima haina faida...kwa wengine itakuwa nayo....na ile dharau ile pia siipendi.
Aidha Angel ametangulia, mama unasema umasikini ndo umechukua uhai wa mwanao, ni wakat tu umefika, jipe moyo endelea kupambana, Angel mwingine utampata japo hatakuwa na ladha sawa na huyu aliyetangulia.
Wakat mwingine pia, tusibaki kusema tu Mungu ameamua, basi, mbona shetan hatumzungumzii kwamba yeye ni chanzo cha uharibifu mkubwa hapa duniani, kwamba kila umauti basi Mungu kasababisha.....
Mfiwa nakupa siri, one day kabla hujamfikisha mgonjwa hospital, sema mane o machache na Mungu wako unayemuamini, mwambie huko napoelekea naomba ufanye maandalizi mwenyewe Mungu ila wanadamu wabaki kutekeleza maagizo yako na mapenzi yako tu.
Mwambie, kama kuna daktar au mazingira yyte yameandaliwa ya umauti juu ya mwanangu au yyte yule uliyenaye, roho ya mauti ifutike kwa jina la huyo unayemuamini.
Kuna mazingira yanaandaliwa na shetani kwa masaa hayo tu ili kukamilisha umauti wa ndugu yako kwa wakat huo, kuwa makini.
One day mke wangu mjamzito, nikamuuliza mamy...unategemea kujifungua hospital gan....nilikuwa namuuliza makusudi ili niiweke hyo hospital na mazingira yote salama...akanitajia dady ni hospital flan tu nasikia haina shida...nikamwambia sawa.
Akaniuliza Dady kwann umeniuliza, nikamjibu, nilitaka nifahamu ktk ulimwengu wa kimwili pameandaliwa wapi wew kujifungua, lkn mm naupa ulimwengu wa Kiroho kufanya hyo kazi.
Alifurah sana akasema Dady asante na ubarikiwe.
Bhas nikaingia kazin, kiroho...kuanzia geti la hospital, mkunga/wakunga watakayemuattend, martenity ward, vifaa kitanda na kila kitu...kilichofungwa pale kifunguliwe.
Baada ya muda kukaribia mm sielew naendelea na mambo yangu kazin, wife kanitumia msg...Dady bhana nimeahirisha kujifungua ile hospital nilikuambia, nikatabasamu mwenyewe ofisin, nikasema asante Mungu kwa kazi yako nzuri.
Nikamuuliza kwann mamy? Akanijibu tu simple kuwa sielew hata kwann sipataki tena pale, nikamendelea kumuuliza tena, alternative ni hospital ipi sasa, bila kumkumbusha lolote juu ya nilichomwambia awali.
Akaniambia ni hospital flan hv, nikasema haya sasa wacha niendelee kupambana...nikaiweka tena rohoni..
Mpaka siku anapata uchungu saa sita usiku mwaka huo, nikawasha gari nikampeleka tumefika akapimwa, nikaambiwa baba wew pumzika, mama yupo sawa sanaa....nikaondoka kwa amani zangu.
Narudi asbh saa 0630 naambiwa baba umechelewa sana chukua mke na mwanao alishajifungua muda sana na wapo salama.
Nikamtolea Mungu sadaka nikasema...thanks.
Mtoto mwingine ikawa the same, though nesi mbaya akaandaliwa na vita ikawa kubwa, japo vita hyo sikuwepo nyumban that day, nikaipokea kwa njia ya ndoto huko nilipokuwa, nikapambana usiku huo...mtoto kazaliwa salama
Ni vyema kujikabidhi kwa Mungu coz, huko hospital pia kuna alot of amsatan agents na ni madaktari bingwa kabisa, wanatumika kwa kujua au kutokujua.
Mungu awabariki polen, ngekuwepo Dar ngehudhuria huo msiba, sema nipo nje ya nchi.