Kifo cha mwanangu kipenzi kimetokana na uzembe

Mwanangu aliumwa usiku ghafla tukalazimika kwenda hospitali ya karibu wakasema tumpeleke hospital ya ++++, kufika pale saa 8 usiku wanasema network hakuna hadi irudi wamekuja kumhudumia asubuhi saa 4 mtoto kashalegea anatapika damu nyeusi. Tumemlaza kitandani wakaniagiza mavitu mengi kumbe mtoto amekata roho kwa uzembe wa madaktari.

Naumia sana, mwanangu kachomwa chomwa kateseka kafariki kwenye maumivu makali sana kwa uzembe. Nisamehe mwanangu na ulale salama kama ningekuwa na pesa usingefariki maana masikini nimeganda na wewe masaa 7 hospitali bila msaada.

Kwanini wasingemhudumia mtoto jamani naumia sana mimi jamani
Pole sana Ndugu..
 
Nilimpeleka wife kujifungua hospital Fulani kubwa ya mkoa flani apa jijini wakasema uchungu unakuja na kupotea na kweli uchungu ulikuwa unakuja nakupotea cha kushangaza amekaa zaid ya masaaa Saba ndo wanakuja kumuwekea dripu ya uchungu akajifungua kweli ila katoto kangu kakawa ndo kwaheri nilijuta Sana kumpeleka hospital ya serekali
 
wiki iliyopita nilimpeleka jirani mmoja hospitali kubwa tu hapa arusha, tumefika saa 10 usiku maana alikuwa anahema kwa shida akikaa na akilala anashindwa kuhema.

Tumefika nikakimbiza bima chap chap daktari akaja akampima akasema oxygen iko chini hivyo anatakiwa awekewe oxygen, mara akasema mpeleke maabara akatoe damu nikawa nawaza damu ya nini na mtu ana matatizo ya kupumua?

saa 12 asubuhi ikafika majibu ya damu yakatoka hana malaria na damu iko fresh, nikamuambia ndugu yake apa tutapoteza mtu tukambeba tukamkimbiza hospitali flani ya wahindi pale wakasema mara hatuwez kutumia bima tena mambo kibao.

ndugu yake akatoa pesa basi akapimwa moyo na mambo mengine akalazwa sasa hivi anaendelea vizuri.

hizi hospitali zimebaki na sifa ya kudumisha usafi tu mambo mengine hamna kitu.
mkuu hiyo hospital c pale meru kweli nilipoteza kachangaa pale kwa uzembe wao
 
Huwa nashangaa Sana mtu kutotaja Hospital iliyosababisha maumivu kwake,
Kweli...Unaionea Huruma Hospitali iliyokusababishia Maumivu?
Ukiwajua Hata Manesi Kwa Majina, Wataje wasije umiza Mwingine!
 
HOSPITAL IPO DAR ES SALAAM , WILAYA YA ILALA NI YA SERIKALI....IPO BARABARANI KAMA UNAENDA KARUME....MTOTO ALIKUWA NA JOTO TU NA ALIFIKA MZIMA KABISA LAKINI YALIYOTOKE NIMESHTAKI KWA MUNGU ATAAMUA YEYE NDIO ANAJUA NAPITIA YAPI MANESI NA DOKTA SIWAJUI KWA JINA ILA SURA ZAO SITAZISAHAU NA OFISI YAO MILELE...BAADAE WANASEMA MTOTO KAFARIKI DAMU IMEGANDA KWENYE MAPAFU SIJUI....MTOTO ALICHELEWA KUPEWA HUDUMA AKAANZA KUTAPIKA DAMU NYEUSI....INAUMA INAUMIZA NAOMBA MNISAIDIE MSAADA WA KIROHO AU WANASAIKOLOJIA NAWEZA KUFA KWA AYA MAUMIVU JAMANI KUSHUHUDIA KIFO CHA MATESO CHA MWANANGU
 
Hivi kwa nini kina Edina mnakuwaga wapole hivi? Changamka wewe acha kujiliza.
 
Mwanangu aliumwa usiku ghafla tukalazimika kwenda hospitali ya karibu wakasema tumpeleke hospital ya ++++, kufika pale saa 8 usiku wanasema network hakuna hadi irudi wamekuja kumhudumia asubuhi saa 4 mtoto kashalegea anatapika damu nyeusi. Tumemlaza kitandani wakaniagiza mavitu mengi kumbe mtoto amekata roho kwa uzembe wa madaktari.

Naumia sana, mwanangu kachomwa chomwa kateseka kafariki kwenye maumivu makali sana kwa uzembe. Nisamehe mwanangu na ulale salama kama ningekuwa na pesa usingefariki maana masikini nimeganda na wewe masaa 7 hospitali bila msaada.

Kwanini wasingemhudumia mtoto jamani naumia sana mimi jamani
Madaktari wanahusikaje na mfumo. Madaktari tunawaonea sana.
 
HOSPITAL IPO DAR ES SALAAM , WILAYA YA ILALA NI YA SERIKALI....IPO BARABARANI KAMA UNAENDA KARUME....MTOTO ALIKUWA NA JOTO TU NA ALIFIKA MZIMA KABISA LAKINI YALIYOTOKE NIMESHTAKI KWA MUNGU ATAAMUA YEYE NDIO ANAJUA NAPITIA YAPI MANESI NA DOKTA SIWAJUI KWA JINA ILA SURA ZAO SITAZISAHAU NA OFISI YAO MILELE...BAADAE WANASEMA MTOTO KAFARIKI DAMU IMEGANDA KWENYE MAPAFU SIJUI....MTOTO ALICHELEWA KUPEWA HUDUMA AKAANZA KUTAPIKA DAMU NYEUSI....INAUMA INAUMIZA NAOMBA MNISAIDIE MSAADA WA KIROHO AU WANASAIKOLOJIA NAWEZA KUFA KWA AYA MAUMIVU JAMANI KUSHUHUDIA KIFO CHA MATESO CHA MWANANGU

Ina maana hiyo hospitali ni amana sio
 
Pole sana,,,,,kuna mama alihamishiwa hosp nyingine baada ya mwanae kubadilika rangi alipozaliwa, walipelekwa hosp kwa gari la emergency ila walipofika emergency hosp walihamishiwa,wakakuta jamaa wapo busy kujaza detail mara nenda kalipie kwanza hata kumpokea mtoto hawajampokea, wakaenda kulipa kurud eti itabid muende Kwenye clinic ya kina mama na mtoto yule mama huku analia washa alianzishe haha pale pale emergency mbona Manesi walijaa fasta wakamchukua mtoto nakwenda kumhudumia,,,baadhi ya wauguzi wanajisahau mno majukumu yao na kupelekea vifo kwauzembe!!!Sasa kumhudumia mtoto kwanza waliona sijui watatoroka bila kulipa hatar!
 
Pole Sana mkuu, siku hizi kama haujiongezi kurefusha mkono utaoza unaangaliwa tu.
 
wiki iliyopita nilimpeleka jirani mmoja hospitali kubwa tu hapa arusha, tumefika saa 10 usiku maana alikuwa anahema kwa shida akikaa na akilala anashindwa kuhema.

Tumefika nikakimbiza bima chap chap daktari akaja akampima akasema oxygen iko chini hivyo anatakiwa awekewe oxygen, mara akasema mpeleke maabara akatoe damu nikawa nawaza damu ya nini na mtu ana matatizo ya kupumua?

saa 12 asubuhi ikafika majibu ya damu yakatoka hana malaria na damu iko fresh, nikamuambia ndugu yake apa tutapoteza mtu tukambeba tukamkimbiza hospitali flani ya wahindi pale wakasema mara hatuwez kutumia bima tena mambo kibao.

ndugu yake akatoa pesa basi akapimwa moyo na mambo mengine akalazwa sasa hivi anaendelea vizuri.

hizi hospitali zimebaki na sifa ya kudumisha usafi tu mambo mengine hamna kitu.
Hospitali nyingi ukitoa kadi ya bima wanaona kama umetoa furushi la kinyesi yaani hawatak kabisa.
 
Mwanangu aliumwa usiku ghafla tukalazimika kwenda hospitali ya karibu wakasema tumpeleke hospital ya ++++, kufika pale saa 8 usiku wanasema network hakuna hadi irudi wamekuja kumhudumia asubuhi saa 4 mtoto kashalegea anatapika damu nyeusi. Tumemlaza kitandani wakaniagiza mavitu mengi kumbe mtoto amekata roho kwa uzembe wa madaktari.

Naumia sana, mwanangu kachomwa chomwa kateseka kafariki kwenye maumivu makali sana kwa uzembe. Nisamehe mwanangu na ulale salama kama ningekuwa na pesa usingefariki maana masikini nimeganda na wewe masaa 7 hospitali bila msaada.

Kwanini wasingemhudumia mtoto jamani naumia sana mimi jamani
Pole saba na malaika wampokee. Ila uzembe mwingi sana mahospitalini. NAIkumbuka issue ya Hawa wa "nitarejea " vs diamond, mwaka mzima mUhimbili walikuwa wanasema figo/ maini yana matatizo, wanampa vidonge na kupunguza maji tumboni( tumbo lilikuwa linavimba kama mjamzito) Diamond aka msponsor India, kufika vipimo vikaonyesha hana matatizo waliyosema muhimbili, bali ni MOYO. Kama sio india angekufa.
 
Pole my son,

1 Wathesalonike 5:18

Shukuruni kwa kila jambo; maana hayo ni mapenzi ya Mungu kwenu katika Kristo Yesu.
 
mkuu mimi pia natumia bima ya afya, ila hospitali zote za jirani wananijua. Wewe nikiona dalili ya kudharauliwa na vitoto vidogo sina uvumilivu.

nilimripoti mpumbavu mmoja alinijibu tu "leo watu wa bima hatutibu, mtandao hakuna", nami nikamjibu "leo unanitibu, mtandao utaupata tu, subiri dakika 3 zijazo uone".

Nikaongea na mkurugenzi mkuu wa NHIF moja kwa moja, zilipigwa simu dakika 20, alikuja kunitibu mganga mkuu mwenyewe, kwa samahani na pole nyingi sana.
Acha kuwadanganya watu wewe....hujakutana na manunda hospital hutawafanya kitu

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Nilimpeleka wife kujifungua hospital Fulani kubwa ya mkoa flani apa jijini wakasema uchungu unakuja na kupotea na kweli uchungu ulikuwa unakuja nakupotea cha kushangaza amekaa zaid ya masaaa Saba ndo wanakuja kumuwekea dripu ya uchungu akajifungua kweli ila katoto kangu kakawa ndo kwaheri nilijuta Sana kumpeleka hospital ya serekali
Hiii inafahamika alitakiwa operation

Back
Top Bottom