Pole Sana ndugu yetu na ninaomba uwasamehe wale wote ambao Kwa maana moja au nyingine wametumia lugha mbaya huenda ni stress tu za Maisha.Mazingira yapi mbona mimi niliwaambia waseme wanachotaka watanzania tutakufa wengi nankupoteza wengi kwa uzembe wetu hakika inaumiza sana mwnangu naumia sana jamani naumia nimekuja humu mnipe faraja angalau nashindwa naumia nalia kila wakati sijui nimekosea nini mimi kupewa hii adhabu ya maisha ya mwanangu
Polee sana.Mwanangu aliumwa usiku ghafla tukalazimika kwenda hospitali ya karibu wakasema tumpeleke hospital ya ++++, kufika pale saa 8 usiku wanasema network hakuna hadi irudi wamekuja kumhudumia asubuhi saa 4 mtoto kashalegea anatapika damu nyeusi. Tumemlaza kitandani wakaniagiza mavitu mengi kumbe mtoto amekata roho kwa uzembe wa madaktari.
Naumia sana, mwanangu kachomwa chomwa kateseka kafariki kwenye maumivu makali sana kwa uzembe.
Nisamehe mwanangu na ulale salama kama ningekuwa na pesa usingefariki maana maskini nimeganda na wewe masaa 7 hospitali bila msaada.
Kwanini wasingemhudumia mtoto jamani naumia sana mimi jamani
hii nchi ina viumbe vya ajabu mno. Yani kama ingekuwa mimi nimepeleka mgonjwa ningemtanguliza huyo daktari mochwari.nimempeleka rafiki yangu hospitali yuko taabani..kumuingiza kwa dokta hata ajachekiwa Dokta anapiga simu mochwar km kuna nafasi.
kweli bongo nyoso!!
unampeleka mgonjwa hospitali kweli dokta anakuelekeza sehemu majeneza bei rahis ilipo!!daahh hii nhi ngumu sana.
na lile rungu lenu kubwa kule mochwari maiti akipiga chafya mnaenda kumtwanga nalo kumalizia sio poa kabisa.
pole sana mfiwa
Dah!! Pole sana. Hakuna maumivu makali kwa binadamu kama haya ya kumpoteza mtu umpendaye.Mwanangu aliumwa usiku ghafla tukalazimika kwenda hospitali ya karibu wakasema tumpeleke hospital ya ++++, kufika pale saa 8 usiku wanasema network hakuna hadi irudi wamekuja kumhudumia asubuhi saa 4 mtoto kashalegea anatapika damu nyeusi. Tumemlaza kitandani wakaniagiza mavitu mengi kumbe mtoto amekata roho kwa uzembe wa madaktari.
Naumia sana, mwanangu kachomwa chomwa kateseka kafariki kwenye maumivu makali sana kwa uzembe. Nisamehe mwanangu na ulale salama kama ningekuwa na pesa usingefariki maana masikini nimeganda na wewe masaa 7 hospitali bila msaada.
Kwanini wasingemhudumia mtoto jamani naumia sana mimi jamani
Siku moja mtanikumbuka kwa mazuri =JPM
Pole sna na Mungu akutie nguvu katika magumu yaliyokupataMazingira yapi mbona mimi niliwaambia waseme wanachotaka watanzania tutakufa wengi nankupoteza wengi kwa uzembe wetu hakika inaumiza sana mwnangu naumia sana jamani naumia nimekuja humu mnipe faraja angalau nashindwa naumia nalia kila wakati sijui nimekosea nini mimi kupewa hii adhabu ya maisha ya mwanangu
Tafuta hela fala wewe, eti umejeruhi mtu kisa ujinga wako wa kutojua wajibu na majukumu yako kwa mtoto wakoPole sana mkuu, ila umeniangusha sana ungeliamsha hapo umjeruhi hata mfanya kazi mmoja. Tumekubali kuongozwa na wajinga ndio matokeo yake haya
Inauma mno. Pole sana mkuu!Mimi nilipoteza kaka tena wa miaka 18 kisa buku 5 i wish ningekuwa mkubwa by that time.
Pole sana ndugu yetu, tunajua inavyouma!! Ila Kwa kumhusisha JPM hapa Sio Mahala pake!! Pia JPM alishatutoka, tutajuaje kama naye huduma ilichelewa!? Yote tumuachie MuumbaSiku moja mtanikumbuka kwa mazuri =JPM
Asante sana mkuuInauma mno. Pole sana mkuu!
Pole mkuu I feel your pain!Mwanangu aliumwa usiku ghafla tukalazimika kwenda hospitali ya karibu wakasema tumpeleke hospital ya ++++, kufika pale saa 8 usiku wanasema network hakuna hadi irudi wamekuja kumhudumia asubuhi saa 4 mtoto kashalegea anatapika damu nyeusi. Tumemlaza kitandani wakaniagiza mavitu mengi kumbe mtoto amekata roho kwa uzembe wa madaktari.
Naumia sana, mwanangu kachomwa chomwa kateseka kafariki kwenye maumivu makali sana kwa uzembe. Nisamehe mwanangu na ulale salama kama ningekuwa na pesa usingefariki maana masikini nimeganda na wewe masaa 7 hospitali bila msaada.
Kwanini wasingemhudumia mtoto jamani naumia sana mimi jamani
Hio nilikata mapema sana ili siku lilitokea la kuhitaji uharaka wa huduma basi dogo apatiwe huduma chap hata kama sipoNHIF ya Toto Afya Kadi ni 50400 kwa mwaka, mtoto anatibiwa hospital nyingi.
Wazazi wengi ni wazembe kwa makusudi hawakati hii bima wakati ni msaada sana