Dr Dre
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 2,669
- 2,859
Pole sana mkuu,Mwanangu aliumwa usiku ghafla tukalazimika kwenda hospitali ya karibu wakasema tumpeleke hospital ya ++++, kufika pale saa 8 usiku wanasema network hakuna hadi irudi wamekuja kumhudumia asubuhi saa 4 mtoto kashalegea anatapika damu nyeusi. Tumemlaza kitandani wakaniagiza mavitu mengi kumbe mtoto amekata roho kwa uzembe wa madaktari.
Naumia sana, mwanangu kachomwa chomwa kateseka kafariki kwenye maumivu makali sana kwa uzembe. Nisamehe mwanangu na ulale salama kama ningekuwa na pesa usingefariki maana masikini nimeganda na wewe masaa 7 hospitali bila msaada.
Kwanini wasingemhudumia mtoto jamani naumia sana mimi jamani
Pole ndg jipe moyo mkuu. Usemayo yana ukweli vifo vingi vya maskini hutokana na kukosa huduma stahiki za kimatibabu. Matajiri pekee ndo pekee vifo vyao huwa vimefikaMwanangu aliumwa usiku ghafla tukalazimika kwenda hospitali ya karibu wakasema tumpeleke hospital ya ++++, kufika pale saa 8 usiku wanasema network hakuna hadi irudi wamekuja kumhudumia asubuhi saa 4 mtoto kashalegea anatapika damu nyeusi. Tumemlaza kitandani wakaniagiza mavitu mengi kumbe mtoto amekata roho kwa uzembe wa madaktari.
Naumia sana, mwanangu kachomwa chomwa kateseka kafariki kwenye maumivu makali sana kwa uzembe. Nisamehe mwanangu na ulale salama kama ningekuwa na pesa usingefariki maana masikini nimeganda na wewe masaa 7 hospitali bila msaada.
Kwanini wasingemhudumia mtoto jamani naumia sana mimi jamani
Unaweza jikuta umefyatua moja juu dadexMimi nilipoteza kaka tena wa miaka 18 kisa buku 5 i wish ningekuwa mkubwa by that time.
Kwamba angekuwepo ndo network ingerudi au isingepotea?Siku moja mtanikumbuka kwa mazuri =JPM
Asee ningetia fujo hadi wananchi wangekuja kuamulia na matibabu angepata sababu claim yao haina substance.Unaweza jikuta umefyatua moja juu dadex
We waheshimu watu wote usichague wa kumuheshimu. Tatizo linalotukabili wengi ni kutaka kuonekana wema kwa kila mtu hili huzaa unafiki.Kwelii we Extrovert,
Na sijui ni extrovert wa kundi gani???
Hapa ndo naweheshimu maintrovert kwakweli,,
Yaani anaropokaa tu wala hapati mda wakufikiria anachotak kuzungumza kazi kweli,,
Nakumbuka kuna mwenzio kipindi nasoma darasani alikuwa mwalimu akiuliza swali tu lazima anyooshe mkono, achaguliwe sasa uone kimbembe hichoo,,
Daah pole sana Mkuu, kwani angetibiwa then wamuingize kweny mfumo baada ya network kurudi ilishindikana nin?Mwanangu aliumwa usiku ghafla tukalazimika kwenda hospitali ya karibu wakasema tumpeleke hospital ya ++++, kufika pale saa 8 usiku wanasema network hakuna hadi irudi wamekuja kumhudumia asubuhi saa 4 mtoto kashalegea anatapika damu nyeusi. Tumemlaza kitandani wakaniagiza mavitu mengi kumbe mtoto amekata roho kwa uzembe wa madaktari.
Naumia sana, mwanangu kachomwa chomwa kateseka kafariki kwenye maumivu makali sana kwa uzembe. Nisamehe mwanangu na ulale salama kama ningekuwa na pesa usingefariki maana masikini nimeganda na wewe masaa 7 hospitali bila msaada.
Kwanini wasingemhudumia mtoto jamani naumia sana mimi jamani
Pole sana mkuuMwanangu aliumwa usiku ghafla tukalazimika kwenda hospitali ya karibu wakasema tumpeleke hospital ya ++++, kufika pale saa 8 usiku wanasema network hakuna hadi irudi wamekuja kumhudumia asubuhi saa 4 mtoto kashalegea anatapika damu nyeusi. Tumemlaza kitandani wakaniagiza mavitu mengi kumbe mtoto amekata roho kwa uzembe wa madaktari.
Naumia sana, mwanangu kachomwa chomwa kateseka kafariki kwenye maumivu makali sana kwa uzembe. Nisamehe mwanangu na ulale salama kama ningekuwa na pesa usingefariki maana masikini nimeganda na wewe masaa 7 hospitali bila msaada.
Kwanini wasingemhudumia mtoto jamani naumia sana mimi jamani
Sasa hicho ulichawauliza kua waseme wanachotaka ulimaanisha nini mkuu.Sikuwa na hela
Bila nchi kuvunja maagano ya ulozi wa bagamoyo ni ngumu Sana kutokaPole Sana Kuna tatizo nchi hii tena la kiroho we need to repent our sins