Kifo cha mwanangu kipenzi kimetokana na uzembe

Kifo cha mwanangu kipenzi kimetokana na uzembe

Pole mkuu.Kifo Cha dogo kimenisikitisha Ila zaidi nihayo maneno yako kwamba 'umasikini wako ndo umechangia kumpoteza mwanao'.
Pole tena mkuu, usijilaumu kwa Hilo.
Ni kweli nimemuomba mwanangu msamaha maana kama sii mimi niliemzaa kuwa maskini asingefariki
 
Wewe ni sehemu ya huo uzembe pia. Baba wa mtoto yupo wapi? Hospitali ni moja tu hapo ulipo?
RIP chalii mdogo.
Ni bora tu ungekaa kimya maana wewe ni punguani yani kichwa chako hakipo sawa

Mama ametoka usiku ameenda hospital ya kwanza wakamwambie hali ni mbaya aende hospital nyinge akaenda amefika saa 8 usiku watoa huduma wanasuri network alafu wewe unasema ni mzembe yani unakera sana

Ulishawahi kuwa na ishu ambayo inasubiri network irudi? Network huwa haijulikani itarudi saa ngapi na huwa unahisi kama ukitoka tu na network itarudi

Shida ni kwa hao wahudumu wa hospital yani yameshindwa kumpa huduma wakati wabasubiri hiyo network irudi?

Dada taja jina la hiyo hospital ili kuokoa maisha ya watu wengene maana kwa hi network yetu ya Tanzania wataua watu wengi sana
 
Aliyasema wapi hayo yote punguani mwenzangu?
 
Ofcourse nilikosa kabisa ujasiri wa kutoa taarifa. Alikuwa ni wife material! Uzembe wa kibinadamu ukatokea, akaondoka kirahisi rahisi tu!

Maumivu yake mpaka leo hayajawahi kuisha. Na ndiyo maana nimeguswa sana na kifo cha mtoto wa mjumbe mwenzetu. All in all, kila nafsi itaonja mauti.
Mkuu haya maumivu hayawezi kuisha uzembe yani nahisi mwanangu analia kwa sababu ameondoka kiwepesi sana sana why jamani haya mahospital hayana huruma jamani?
 
Hiyo itakuwa ni hospitali ya serikali, mara nyingi wanafanya kazi kwa mazoea. Net work ndio hutumika kuunganisha shughuli kwenye hospitali nyingi kubwa, lakini ukikwama hospitali au Dr mwelewa hurudi kwenye analogy ili kuokoa kwanza uhai.
Ndio ni ya serikali mkuu
 
Aliyasema wapi hayo yote punguani mwenzangu?
Mwanangu aliumwa usiku ghafla tukalazimika kwenda hospitali ya karibu wakasema tumpeleke hospital ya ++++, kufika pale saa 8 usiku wanasema network hakuna hadi irudi wamekuja kumhudumia asubuhi saa 4

Utajijua tu kuwa wewe ni punguani
 
Mwanangu aliumwa usiku ghafla tukalazimika kwenda hospitali ya karibu wakasema tumpeleke hospital ya ++++, kufika pale saa 8 usiku wanasema network hakuna hadi irudi wamekuja kumhudumia asubuhi saa 4 mtoto kashalegea anatapika damu nyeusi. Tumemlaza kitandani wakaniagiza mavitu mengi kumbe mtoto amekata roho kwa uzembe wa madaktari.

Naumia sana, mwanangu kachomwa chomwa kateseka kafariki kwenye maumivu makali sana kwa uzembe. Nisamehe mwanangu na ulale salama kama ningekuwa na pesa usingefariki maana masikini nimeganda na wewe masaa 7 hospitali bila msaada.

Kwanini wasingemhudumia mtoto jamani naumia sana mimi jamani
Ulishindwaje kutoa pesa mpk kusubiri bima ikae sawa ???? Uzembe ni wako sio madaktari.
N hospitali gani inayokubali kutohudumia mgonjwa mpk network irudi???....uzembe ni wako.
Hospitali ziko ngapi na masaa 7 ulishindwaje kumpeleka hospitalj nyingine na bodaboda, uber, bajaji kibao....uzembe ni wako.
Msaa 7 ubamuangalia bila juhudu za msingi... uzembe ni wako..

FUTA UZI HUU
MAANA
WEWE NI MZEMBE
 
Mpaka mtu kuandika hapa, ni faraja anayohitaji. Dhihaka ama kebehi ni kumuongezea uchungu tu.
Sidhani kama Extrovert ameongea kwa kebehi au dhihaka, bali ameongea kwa uchungu wenye hasira.
Na nina imani kauli yake imemuingia vizuri zaidi mhusika ( hata mimi pia) kuliko pole zilizotolewa.

Ifike mahali turuhusu maoni machungu yenye tiba.
'Spirit ni chungu sana kwenye kidonda kibichi ila ndio dawa sahihi'
Pole sana mfiwa!
 
Mwanangu aliumwa usiku ghafla tukalazimika kwenda hospitali ya karibu wakasema tumpeleke hospital ya ++++, kufika pale saa 8 usiku wanasema network hakuna hadi irudi wamekuja kumhudumia asubuhi saa 4 mtoto kashalegea anatapika damu nyeusi. Tumemlaza kitandani wakaniagiza mavitu mengi kumbe mtoto amekata roho kwa uzembe wa madaktari.

Naumia sana, mwanangu kachomwa chomwa kateseka kafariki kwenye maumivu makali sana kwa uzembe. Nisamehe mwanangu na ulale salama kama ningekuwa na pesa usingefariki maana masikini nimeganda na wewe masaa 7 hospitali bila msaada.

Kwanini wasingemhudumia mtoto jamani naumia sana mimi jamani
Enzi za Dr Magufuli mwanao angepona maana kila mfanyakazi wa serikali aliwajibija ipasavyo.
 
Pole mleta mada hebu tuambie tukio limetokea wilaya gani?
Kama unafanya siri nakushauri futa uzi wako maana hauna lengo la kuleta funzo na ufanisi sehemu za kazi zaidi ya kutaka sisi tuandike pole pia nakushauri kama inawezekana weka namba ya simu anayeweza akutumie chochote maana sisi wote ni ndugu na msiba hauna mwenyewe.
Kwa mara nyingine pole sana na Mungu awatie nguvu na RIP mtoto.
Tukio lilitoke dar es salaam....wilaya ya ilala .0699574224
 
Bima ya NHIF ni hovyo kbsa ukiwa nayo ukienda Hospital hizi za rufaa vipimo utapata lkn dawa hkna, na kingine saiv watumishi wengi serikalini wamebweteka unakuta Hospital nzima kitengo cha Bima kuna Doctor 1 tu,uyo uyo anahudumia wazee uyo uyo anahudumia watoto wengine wanapiga misele2, umu jf mwendazake anaitwa Dictator lkn kuna mengi aliyafanya kwa weledi sana
 
Mwanangu aliumwa usiku ghafla tukalazimika kwenda hospitali ya karibu wakasema tumpeleke hospital ya ++++, kufika pale saa 8 usiku wanasema network hakuna hadi irudi wamekuja kumhudumia asubuhi saa 4

Utajijua tu kuwa wewe ni punguani
Asante, siku ukiwa na mtoto utaelewa how your brain has to work harder. Mtu yuko Dar es salaam hii hii halafu mtoto anakufa sababu madaktari wamegoma kuwajibika. It doesn't make any sense to me angefia njiani sawa ila sio hospitali ambapo amekaa more than 6 hours bila huduma.
 
Back
Top Bottom