Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,432
- 191,751
Mkuu asante sana nadhani umenielewa vyema zaidi kuliko, No doubt you have a good brain with you wengine wametanguliza hisia wameshindwa kufikiri kwa mapana.Sidhani kama Extrovert ameongea kwa kebehi au dhihaka, bali ameongea kwa uchungu wenye hasira.
Na nina imani kauli yake imemuingia vizuri zaidi mhusika ( hata mimi pia) kuliko pole zilizotolewa.
Ifike mahali turuhusu maoni machungu yenye tiba.
'Spirit ni chungu sana kwenye kidonda kibichi ila ndio dawa sahihi'
Pole sana mfiwa!