I bet hiyo hospital ni KCMC... Nimepoteza watoto wawili pale mwezi March na May mwaka huu.Mwanangu aliumwa usiku ghafla tukalazimika kwenda hospitali ya karibu wakasema tumpeleke hospital ya ++++, kufika pale saa 8 usiku wanasema network hakuna hadi irudi wamekuja kumhudumia asubuhi saa 4 mtoto kashalegea anatapika damu nyeusi. Tumemlaza kitandani wakaniagiza mavitu mengi kumbe mtoto amekata roho kwa uzembe wa madaktari.
Naumia sana, mwanangu kachomwa chomwa kateseka kafariki kwenye maumivu makali sana kwa uzembe. Nisamehe mwanangu na ulale salama kama ningekuwa na pesa usingefariki maana masikini nimeganda na wewe masaa 7 hospitali bila msaada.
Kwanini wasingemhudumia mtoto jamani naumia sana mimi jamani
wewe una mtoto kweli? au umekuja kuchangia kiushabiki, siwezi kukujibu naona umeshakula BANHuyo mwanao unamlisha nini ndugu mpaka minyoo idondoke kwenye kaptura??au unamlisha viporo??
Pole sana naona mmeshamzika mpendwa wetu/Asante barikiwa sana
Ni kwa faida ya nani.Kuna maana gani ya kuwa na bima halafu tena utembee na mapesa ?
Ni jukumu la bima kuhakikisha mteja anapata huduma bora na kwa wakati ,
Premium service haitakiwi iwe ya kuunga unga
Sijuji kama unajua committment kwenye biasharaNi kwa faida ya nani.
Kupanda gari la luxury kwenda mbeya inatakiwa upewe na chakula ila kwnn huwa unachukua hela ya emergency , ya chakula., simu iwe na chaji na hata powerbank unakuwa nayo.
Je safari n muhimu kuliko afya
Tukubali mtoa post ni alikusudia kuua hyo mtoto ni muuaji
How comes masaa6 umemshikilia mtoto halafu hapati tiba umebaki kumwangalia tu badala ya kumpeleka hoapital nyingine
Kwa usumbufu wa malipo wanaotoa NHIF kwa watoa huduma ,ni ngumu sana kwa mtoa huduma za afya kuanza kukupatia hudumu kwa kutumia bima ya afya bila kupata Authorization (number) kutoka kwao.Mwanangu aliumwa usiku ghafla tukalazimika kwenda hospitali ya karibu wakasema tumpeleke hospital ya ++++, kufika pale saa 8 usiku wanasema network hakuna hadi irudi wamekuja kumhudumia asubuhi saa 4 mtoto kashalegea anatapika damu nyeusi. Tumemlaza kitandani wakaniagiza mavitu mengi kumbe mtoto amekata roho kwa uzembe wa madaktari.
Naumia sana, mwanangu kachomwa chomwa kateseka kafariki kwenye maumivu makali sana kwa uzembe. Nisamehe mwanangu na ulale salama kama ningekuwa na pesa usingefariki maana masikini nimeganda na wewe masaa 7 hospitali bila msaada.
Kwanini wasingemhudumia mtoto jamani naumia sana mimi jamani
Aisee pole sana, kwani si wangemtibu mtandao ukirudi wanaingiza taarifa za kadi tu?
Ila mkuu una moyo wa chuma, mimi niliwahi kuliamsha kisa tu kuagizwa dawa wakati wife anajifungua. Walisanda ndani ya dakika 5 tu. Japo wife alinimind sana alipojifungua kuwa hawagombani na daktari wakati una mgonjwa.
Pole kwa msiba, imani ya dini yangu inasema hapo alipoishi ndo aliandikiwa aishi umri huo. Huwezi zuia MUNGU akipanga jambo.
Pole.... Poleeee....
Kifo kiliandikwa au ni uzembe wa daktari?Pole kifo kilishaandikwa, Allah akujaze subra, inna lilahi waina ilaihi rajiun.
Japo ni mipango ya Mungu lakini asilimia kubwa sana za vifo vinavyotokea mahospitali yetu ni sababu ya uzembe na dharau.
Liverpool kwema Mkuu, Ile kampeni ya watu wasioe umeiacha? au watoto wako Kila mmoja anaishi na Mama yake [emoji1787][emoji1][emoji28] jokesNi mpango wa Mungu madaktari wawe wazembe ili tufe?
Kwani Mungu si anachukia wazembe?
#YNWA
Pole mkuu Amin katika qadar ,it was meant to end like thatMwanangu aliumwa usiku ghafla tukalazimika kwenda hospitali ya karibu wakasema tumpeleke hospital ya ++++, kufika pale saa 8 usiku wanasema network hakuna hadi irudi wamekuja kumhudumia asubuhi saa 4 mtoto kashalegea anatapika damu nyeusi. Tumemlaza kitandani wakaniagiza mavitu mengi kumbe mtoto amekata roho kwa uzembe wa madaktari.
Naumia sana, mwanangu kachomwa chomwa kateseka kafariki kwenye maumivu makali sana kwa uzembe. Nisamehe mwanangu na ulale salama kama ningekuwa na pesa usingefariki maana masikini nimeganda na wewe masaa 7 hospitali bila msaada.
Kwanini wasingemhudumia mtoto jamani naumia sana mimi jamani