Kifo cha Nyani: The Best Top Ten

Kifo cha Nyani: The Best Top Ten

Tusikubali kuwa historia kabla yawakati... Kabla hata yauzee haujaja' tumeshasema a ah walikuwaga. (In jide's voice..)

Jide huwa ana mashairi ya kitoto sana ila kwa huo wimbo na hasa hayo maneno uliyonukuu yanafikirisha hata watu wazima. Hapo ameimba kwa kweli
 
Ferooz na bosi wake aliyemtaka mkewe,huku starehe zikimuweka matatani kwa ile jirushe na wema wake uliomponza!
Jamaa kaenda mazima kabisa.

"Nlikuwepo":bolt:
 
OCG-aliyeimba akweli,kapotea mazima.
Hamma Q ndo hivo tena
 
Kuna msanii mmoja wa hip hop alipitiliza akaamua kutoboa pua yake kama binti. siku hizi simsikii.
 
Fredy saganda aliyeimba rafudhi ya kichaga ni namna gani tutawini maishani yelewiii. Huyu ndiye aliyevumbua staili ya kuimba kwa rafudhi ya kilugha kabla kina mkoloni na mr ebo hawajamuiga
 
Mb dog

Z-anto

Mabaga fresh

Inspector haroun

Mr.Paul

Kidato kimoja

Unique Dada's

Dudu baya

Big black

Sister P....

Wamefika kumi??? 😉 maana list bado ndefu..
 
Back
Top Bottom