Kifo cha Nyani: The Best Top Ten

Kifo cha Nyani: The Best Top Ten

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,262
Reaction score
2,184
1.Mr Nice
kikulacho ,fagilia na zingine ndio histori inayomuumiza kichwa kila akiwaza anatamani kulia ila ndio basi maisha hayana rewind

2.Daz Baba
mara ya mwisho alichanganyikiwa kwa mawazo nadhani alikua anakumbuka enzi zake wazee wa zamani waliziita zilipendwa enzi za wife ,namba nane na sista duu masikini daz mwalimu mziki hauna adabu umemfanya vibaya

3.Q Chief
mkapa aliwai kuumpa gari kwa jisonga lake la ninachokipata bwana mkubwa alitingisha sana na nyimbo kama mama. na colabo kali kama my boo pamoja na jafarai

4. Jafari
my boo.niko bize ni ngoma kali katika kila sikio la mpenda mziki lakini sio sasa hiyo ilikua zamani sasa bwana mkubwa kaamua kwenda kuosha magari kwenye car wash yake mtaani

6. TID
jeuri dharau na utovu wa nidhamu ndio unamuangusha huyu mzee kigogo bitter aliwai kumtukana mtangazaji wa clouds fm kua ni shoga usinipigie simu wewe ------ wapigie simu ------- wenzio hio ilikua redioni tena hewani lakini mnyama kama jina lake masikio yangu hayakusikia akiomba radhi wala nn maisha yakaendelea zeze na siamini zilimtengenezea heshima hii anayoharibu leo

7. Ray C
alifikia kipindi wakati wakawa wanaweka ushindani kati yake na malkia wa muziki wa rnb tanzania mamaa sampuli kiuno chake sina hakika kama kinafanya kazi kama mwanzo pole yake

8. Jay Moe
nampenda sana huyu jamaa lakini itabidi niseme ukweli tu japo una kipaji lakini workdone is equal to ziro mziki haukutaki bahati inakukimbia zamani tulisikia mvua na jua maisha ya boarding na unataka dem na nk

9. Man Dojo na Domo Kaya
kweli ilikua hiphop banjo kwa sound kali kama za dingi, msela na nk now ni historia sijui mko wapi

10. Chid Benz
game lilibuma mpaka akawa anatumia ngada kalikiti kupoteteze mawazo wakati aliuchezea kwa anasa na dharau pole sana chuma maisha hayana adabu
 
sahivi tupo kwenye kipindi cha wabana pua
i miss those time nawamiss watajwa hapo juu
 
nae huyu kijana Diamond ajiangalie asije kufa kifo cha soko m2 hadi wapga picha wake wamkimbie maana jamaa anatumia hela sana ukilinganisha na anachoingiza mara akodishe gari kwa chief kiumbe afu anasema lake
 
Man, Sijaamini kama umemweka JayMoe hapo, afu eti unasema muzik haumtaki, seriously????..
 
Tusikubali kuwa historia kabla yawakati... Kabla hata yauzee haujaja' tumeshasema a ah walikuwaga. (In jide's voice..)
 
Sugu..kiburi ft stara. huyu hakuacha mziki ila ulimshinda ana bahati amepata pa kujishikiza
 
Back
Top Bottom