Kifo cha pesa Beach Kidimbwi

Halafu zile mioto wanapiga na kamziki wakati mwingine wanawatisha tu wasiojua. Wanabeba Hennessy 10 na Moet 10 wakifika wanaacha Hennesy chupa mbili na Moet mbili nyingine wanarudisha.
Na sometimes pia hawalipi wanasign tu bill mpaka wanadaiwa kwa aibu. Ukiacha wenye pesa za ukweli wengi wao wanafanyaga zile mbwembwe kuvutia slay queens na kuwa na majina mjini.
Dar kwenye sehemu za starehe kuna siri nyingi sana.
 
Ulichoongea ni ukweli 100%
Pale New africa casino kuna madoni wanacheza kamari sio poa kabisa
 
Ulichoongea ni ukweli 100%
Pale New africa casino kuna madoni wanacheza kamari sio poa kabisa
 
Umeniacha pale uliposema round about ya clouds FM.
 
Mzee laiti ungejua watu madili wanayoyafanya watu wanapiga hadi 150- 400m sio kwamba wengine baba gavana au nini wengi madogo wa forex...
 
Wanatakatisha hela hapo. Unakuta mwenye hiyo kidimbwi ni muuza madawa ya kulevya so anaandaa watu kazaa na anawapa hela halafu wananunua hivyo vyinywaji ili baadaye aje asema hela yake ni halali na inatokana na mauzo ya kidimbwi. Polisi, TRA nendeni hapo mkachunguze. Na kwa njia hiyo watu wengi sana wanatakatisha hela hapo.
 
Ila sasa km Una kipato cha Imani,upendo na miujiza km Mimi utaishia kupiga nao picha Tu..sithubutu kulala na demu one night stand Kwa 300k na usawa huu WA mama
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Laki 3 mkuu hela ya Malaya mmoja Tu kutumia nae usiku alafu unataka unitafute twende kidimbwi tukatie aibu hahaha[emoji28]..tafuta Kwanza financial freedom ili hata tukitumia hiyo laki 3 Kwa pombe moja kichwa kisiwake Moto Kwa mawazo
 
Nasikia ni ya msanii AY..Mastori ya town,sina uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…