Kifo cha pesa Beach Kidimbwi

Wakwanza wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna demu mmoja juzi kati alifariki, mastaa wa Instagram wakawa wanapitisha bakuli la mchango ipatikane hela kwa gharama za mazishi, comment za raia wengi zikawa zinahoji kwanini msipeleke hilo bakuli la mchango Kidimbwi
 
Kuna demu mmoja juzi kati alifariki, mastaa wa Instagram wakawa wanapitisha bakuli la mchango ipatikane hela kwa gharama za mazishi, comment za raia wengi zikawa zinahoji kwanini msipeleke hilo bakuli la mchango Kidimbwi

Anaitwa Rose Coco..

Ni muuza utamu maarufu viwanja vya masaki, jangwani sea brez na kidimbwii
 
Anyway asilimia kubwa wanaokwenda kidimbwi ni kwa ajili ya show off ukiwa na akili za mihemuko unaweza changanyikiwa ujikute don uanze agiza hennessy. Inshort watu wanachezea sena pesa pale then wanachuo wengi sana au watoto.

Naonaga bora niende samaki samaki nakutana na watu wanaojielewa watu maarufu wa serikali na unatengeneza connection kibao. Zamni ulikua huniambii kuhusu kidimbwi na Tips mpaka wahudumu wote wananijua na madem wa pale wengi ni walewale ukienda mtu mgen unaweza pagawa ila ndo walewale njaa tu
 
Washamba,wageni wa starehe huko,fata mkumbo
Ila soon wakizoea wataacha kwenda huko
Maana kuna watu wasipoenda sehemu hizo utafikiri wanapungukiwa damu...ngoja nienjoy huku pande za mtwara nasubiria samaki


Ova
 
Money formula is the zero sum game,haujawaza huyo mmiliki anatengeneza kiasi gani cha pesa kwa usiku mmoja,na wewe ufungue biashara kama hiyo?
 
Na pia matajiri wakueleweka huwezi kumuita Kidimbwi mkaongelea mambo ya msingi.

Na sio matajiri tu, hata watu wenye ajira zao serious huwezi mpeleka kidimbwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…