Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 6,432
- 25,646
- Thread starter
- #301
Mkuu hilo nyonyo vp tena mbona km unaturingishia[emoji39][emoji39]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hilo nyonyo vp tena mbona km unaturingishia[emoji39][emoji39]
Mzinga huo wa asali tamu kwangu na watoto.Mkuu hilo nyonyo vp tena mbona km unaturingishia[emoji39][emoji39]
Kwasababu huenda kunakuwa na kusanyiko la malaya malaya ndio maana 😃😃Kidimbwi is Overrated.
Bata unachill zako kwenye hotel tulivu kisha unaenda zako baharini kuendesha jet ski au una cruise na speed boat baadae unaenda zako kufanya sky diving hilo ndo bata sasa.Exactly.
This is a great analysis.Linapokuja suala kutumia pesa, kuna mambo matatu kwa mawazo yangu yanapelekea kutofautiana kwenye utumiaji.
1-Interest ya mtumiaji.
2-Level ya mtumiaji.
3-Tabia ya mtumiaji.
Unaweza kuta mtu ana pesa kweli, ni tajiri, interest yake ni magari sio kunywa pombe wala wanawake huyo kununua rolls royce ya 2B ni kawaida.
Kuna mwingine ana pesa, interest zake ni wanawake, kuhonga 20M kwa mwanamke wa kupita nae sio kitu.
Kuna mwingine ana interest na vitu vya thamani na bata za kila aina lakini mfuko hauruhusu hawa ndio wapo humu, wanasema tajiri hawatumii pesa hovyo, tajiri wanatumia pesa hovyo, sema interest zao na level zake hazimruhusu kuwepo kidimbwi, imagine Manji aibuke kidimbwi aanze na yeye kucheza mziki hapo, lakini si kwamba eti haendi kwa sababu ya kutumia pesa hovyo, kuna kipindi kama sikosei huyo huyo Manji alilipia mashabiki milioni 100 Tshs waingie kucheki game.
Hakuna mtu hapendi bata, kila mtu anakula bata kwa muongozo wa hayo mambo
Tabia
Level
Interest
Mawazo yangu lakini.
Wanakuzidi?Rafiki zangu wakaka wanasemaga demu wako akikusumbua mpeleke Kidimbwi akiona zile pisi kali atatulia mwenyewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Ila Kidimbwi kuna warembo jamani. Nikiendaga pale naishia tu kusema, "Wanaume wana kazi sana"
Hapo ndo utashangaa. Mtu anazuzuka na pombe ya 1M?Hizo bei ukichenji kuwa US dollars ni pesa ndogo sana.
Kwenye sehemu kuna mziki mkubwa na kelele nyingi utulivu wa akili unakuwa 0, ukishakuwa na biashara kubwa kadhaa unahitaji utulivu wa akili, unahitaji ku concetrate kutafakari about your business, na matajiri wengi ndivyo walivyo, kwenye vurugu kama hizo huwakuti.This is a great analysis.
Kula bata kunatofautiana sana na interest na kipato.
Aisee hii avatar yako mbona balaa sana!!!
Hahaha....Eti mwigumbi[emoji2]Kweli mkuu, kwa mtu wa Ibinzamata,Kizumbi,Mwigumbi,Upongoji, Iselamagazi ataona hio Ni chai kabisa.Piga balimi 4 hapo mwanawane.
Umemaliza kila kitu,Word.
Viwanja kama hivyo ni vya malaya,drug dealers, blackmailers, Pimps, wazee wa dark tricks zote na mafekeche
Viwanja kama hivi utapata HIV, gonorrhea, syphilis,klamedia, UTI, herpes, mifangasi.
Watu smart wenye cashflows zao wanakula hyatt regency movenpick au double tree by hilton.
Wanakula wale high class bi.tc.hes Au career women.
Mtu smart hawezi fvck demu mvuta sigara,mvuta shisha mwenye mitatoo kama gazeti.
These areas are there for the damned people with no life purposes but luckily visited with money.
Hahahahaaa.. mi nishakua shangazi bwana uzoefu tu ndo unanibeba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanakuzidi?
Bosi wangu mmoja poker nusu imuue new africa pale alifaintUlichoongea ni ukweli 100%
Pale New africa casino kuna madoni wanacheza kamari sio poa kabisa
Vitu vya kawaida tunapata kwa gharama kubwa sana bongo hiiKidimbwi is Overrated.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wee nenda ukajaribu kila mtu na taste yake
Sasa hao wanaonunua chupa za mil 1 tuwaitaje?Nimependa hapo kuhusu “financial freedom”...tutafute hela!! Ila ajabu matajiri huwaoni wakifanya hayo wala huwakuti kidimbwi