Kifo cha pesa Beach Kidimbwi

Kifo cha pesa Beach Kidimbwi

Linapokuja suala kutumia pesa, kuna mambo matatu kwa mawazo yangu yanapelekea kutofautiana kwenye utumiaji.

1-Interest ya mtumiaji.
2-Level ya mtumiaji.
3-Tabia ya mtumiaji.

Unaweza kuta mtu ana pesa kweli, ni tajiri, interest yake ni magari sio kunywa pombe wala wanawake huyo kununua rolls royce ya 2B ni kawaida.
Kuna mwingine ana pesa, interest zake ni wanawake, kuhonga 20M kwa mwanamke wa kupita nae sio kitu.
Kuna mwingine ana interest na vitu vya thamani na bata za kila aina lakini mfuko hauruhusu hawa ndio wapo humu, wanasema tajiri hawatumii pesa hovyo, tajiri wanatumia pesa hovyo, sema interest zao na level zake hazimruhusu kuwepo kidimbwi, imagine Manji aibuke kidimbwi aanze na yeye kucheza mziki hapo, lakini si kwamba eti haendi kwa sababu ya kutumia pesa hovyo, kuna kipindi kama sikosei huyo huyo Manji alilipia mashabiki milioni 100 Tshs waingie kucheki game.

Hakuna mtu hapendi bata, kila mtu anakula bata kwa muongozo wa hayo mambo
Tabia
Level
Interest

Mawazo yangu lakini.
This is a great analysis.

Kula bata kunatofautiana sana na interest na kipato.
 
This is a great analysis.

Kula bata kunatofautiana sana na interest na kipato.
Kwenye sehemu kuna mziki mkubwa na kelele nyingi utulivu wa akili unakuwa 0, ukishakuwa na biashara kubwa kadhaa unahitaji utulivu wa akili, unahitaji ku concetrate kutafakari about your business, na matajiri wengi ndivyo walivyo, kwenye vurugu kama hizo huwakuti.
 
Word.

Viwanja kama hivyo ni vya malaya,drug dealers, blackmailers, Pimps, wazee wa dark tricks zote na mafekeche

Viwanja kama hivi utapata HIV, gonorrhea, syphilis,klamedia, UTI, herpes, mifangasi.

Watu smart wenye cashflows zao wanakula hyatt regency movenpick au double tree by hilton.

Wanakula wale high class bi.tc.hes Au career women.

Mtu smart hawezi fvck demu mvuta sigara,mvuta shisha mwenye mitatoo kama gazeti.

These areas are there for the damned people with no life purposes but luckily visited with money.
Umemaliza kila kitu,

Hakuna cha kuongezea.
 
Back
Top Bottom