Kifo cha pesa Beach Kidimbwi

Haha unaishi Dar na ulikuwa hujafika Kidimbwi?.
Kidimbiwi ya siku hizi imetekwa na madada poa siipendi tena.
ni kweli Kidimbwi ni miongoni mwa sehemu za starehe zinazoteketeza pesa sana.
 
Hata mimi ndio ninavyojua
Hawa ni limbukeni tu wanaojifunza vitu vitu kwenye maisha
Tajiri hatumiagi pesa kwa mbwembwe hata siku moja.
Ukiona mtu anatumia pesa kwa mbwembwe ni mshamba wapesa...ameishika hivi karibuni na anaisikiliza sauti ya pesa ikimpangia cha kufanya.
Mtu mzoefu na pesa huwa anaipangia pesa matumizi huku akiwa na utulivu wa hali ya juu.
 
Kama wewe apoo usivyo na mbwe mbwe
 
Kuna mmoja nilikuwa natoka nae, nilimkimbia japo sometimes alikuwa analipa yy...wakishua wengi sana pale.
 
Achana na malimbuken ya mji yanajifanyaga yanajua kila kitu kumbe wachimba chumvi tu
 
Dah kweli usiseme tunakufa sema unakufa 😳 1m si naongeza kidogo apo napata ada ya mwanangu. Kuna mtu kasema tutafute hela naunga sana mkono hoja doh
Hahaha 1m ni kubwa mno kwa wakati flani lkn kuna majira 1m ni ndogo mno.
Hii inategemea majira yako uliyo nayo.
Pesa iko kama majira.
Kuna wakati ukame na kuna wakati ni masika yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…