Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
Lols hongeraNazijua basi mpendwa?
Mie nikijitahidi sana...Upepo beach, Kidimbwi nimestaafu ..samaki samaki na vichochoro vidogo vidogo tu kama Velisa..boardroom nk nk😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lols hongeraNazijua basi mpendwa?
Mie nikijitahidi sana...Upepo beach, Kidimbwi nimestaafu ..samaki samaki na vichochoro vidogo vidogo tu kama Velisa..boardroom nk nk😅😅
Ya nini? Kuteketeza pesa? Nipe poleLols hongera
🙈😜Woi mimi bado sana sana.
Nina safari ndefu bado
Sasa ww utafanya kazi miaka na miaka usipate hata siku ya kutulia masaa 2 uupongeze mwili?Ya nini? Kuteketeza pesa? Nipe pole
Panapo majira tunazitumia sana tu.Sasa ww utafanya kazi miaka na miaka usipate hata siku ya kutulia masaa 2 uupongeze mwili?
Ni hongera bwana
HahahaAcha kabisa ila bwana bwana kuywa pombe ya million kumi pata unga first grade lakini mwisho wa siku utaishia kwenye mbususu tuu. Hakuna starehe duniani isiyo ishia na kugegegeda mbususu
Hayo ndo maishaPanapo majira tunazitumia sana tu.
Lakini sio majira yote
NakubaliHahaha 1m ni kubwa mno kwa wakati flani lkn kuna majira 1m ni ndogo mno.
Hii inategemea majira yako uliyo nayo.
Pesa iko kama majira.
Kuna wakati ukame na kuna wakati ni masika yako.
Maskini akipata ndo kalio hulia MbwataNimependa hapo kuhusu “financial freedom”...tutafute hela!! Ila ajabu matajiri huwaoni wakifanya hayo wala huwakuti kidimbwi
Aiseeee !!!Na bado Majuzi Kuna wabongo walifurahia sana Ada ya shule za serikali za form 5&6 kufutwa, na ada yenyewe Ni Tsh.70,000 kwa mwaka(Yaani elfu sabini tu).
Hayo ndio ma-gap kwny Maisha.
Iga ufe.mbezi bana kuna vijana wana hela wao ni bata monday to monday halafu haijulikani wanafanya shughuli gani
Duh, bonge la point mkuu.Hahaha 1m ni kubwa mno kwa wakati flani lkn kuna majira 1m ni ndogo mno.
Hii inategemea majira yako uliyo nayo.
Pesa iko kama majira.
Kuna wakati ukame na kuna wakati ni masika yako.
Alfu utaashaa kina mwingilu awatozi Kodi za maana kidimbwi kinywaji milion 1 Kodi yake serkali ingechukuwa laki tano pale bila huruma
Una aibisha wanaume.Chai
Chai