Kifo cha pesa Beach Kidimbwi

Kifo cha pesa Beach Kidimbwi

tunajipa moyo wenyewe "eti matajiri hawatumii hela" hahahahahaha.

kila hutumia kwa kiwango chake na maeneo ya kiwango chake..
Tajiri ananunua Yatch inaelea pale yatch club dar, kwa mwezi unakuta anaitumia mara moja, tajiri ananunua marange, mav8 yamejaa kwenye parking hana kazi nayo...
Tajiri hagumii hela Kidimbwi, nenda Hayyt Casino au pale New Africa uone kamari inavyokula hela za matajiri...

Wale wanaokula bata kule Ibiza bila shaka nao ni malimbukeni.....hahahahaha..

kuna mtu level yake kusumbua ni kwa Mtogole, mwingine Buza, mwingine Juliana mwingine weekend pale Dubai nk....
 
Wewe sio mwenyeji mjini. clouds hamna round about. alafu tafuta hela nenda kaitumie hiyo milioni kidimbwi ufe uajiona asubuhi yake. endelea kuuzoe mji, usije zoea majini.
Round about ya clouds ipo wala hajakosea...ipo njia panda ya stendi ya kawe karibu na kwa mwamposa...mbele kidogo ya infotech company ya marehemu mfuruki...nyuma kidogo ya ghorofa mpya za national housing
 
Watoto wa kishua ndio wanasumbua kidimbwii. Sio matajiri wenyewe..

Wasumbufu wengi kidimbwii ni wale baba gavana BOT.. ama baba CEO bandarini...

Na kuna wale wana urithi wa nguvu. Unakuta baba na mama wamefariki wamewaachia ukumbi za maharusi na appartments za kutosha dar.. hao ndio wanachezea hela kidimbwii.. maana zinaingia tu kila siku

Shida ya kidimbwiii madem wengi ni wadangaji tu.. ukiwaona pisiii kali jichanganyeee wakuuzie ukimwi
Wakuumizie ukimwi kivipi wakati ndomu kibao na mpaka Malaya wanatembea nazo?? [emoji12]
 
Kidimbwi utawakuta maskin Tu , malimbukeni na wakorofi wasio na future yyte , matajir wenye system ya hela huwez wakuta pale
Word.

Viwanja kama hivyo ni vya malaya,drug dealers, blackmailers, Pimps, wazee wa dark tricks zote na mafekeche

Viwanja kama hivi utapata HIV, gonorrhea, syphilis,klamedia, UTI, herpes, mifangasi.

Watu smart wenye cashflows zao wanakula hyatt regency movenpick au double tree by hilton.

Wanakula wale high class bi.tc.hes Au career women.

Mtu smart hawezi fvck demu mvuta sigara,mvuta shisha mwenye mitatoo kama gazeti.

These areas are there for the damned people with no life purposes but luckily visited with money.
 
Back
Top Bottom