The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Wengi wamehuzunishwa na kifo cha Raila Odinga waziri mkuu wa zamani wa Kenya. Ni haki yao. Wengi, hata hivyo, wamesahau damu na vifo vya Gen Z waliotekwa na kuuawa na serikali aliyojiunga nayo baada ya kuwasaliti kabla nae hajamalizwa kama wengi wa wakenya wanavyosema. Funzo.
Malipo kumbe ni hapa hapa duniani. Mungu siku hizi hacheleweshi. Anatumia mtandao. Ukiishi kwa upanga, utakufa kwa upanga. RIP Raila Odinga mwanasiasa nyemelezi na mtata.
Msalimie rafiki yako Joni Pombe Magufuli mwanzilishi wa utekaji Tanzania na aliyemtengeza bi Mdwedwedwe anayeendelea na wimbi hili.