Mkuu umekula naona bado unaakili za lumumbaa mnawananga mabeberu uku mnawakumbatia bulishitNahisi Kuna mbinu chafu Wakenya
na mabeberu [emoji238] [emoji238] wanajfanyiaa Burundi na soon mbinu hiyo itaingizwa nchini.
Sana tu,tuendelee kuchukua tahadhari,Social distancing,Face masks and Sanitization na hii hasa kwa sehemu zenye mikusanyiko...Kama nilikuwa nikiamini kuwa CORONA hainiwezi maana ninaye Mungu baba, sasa nimeanza kufikiria tofauti. Kumbe lolote linaweza kutokea kwa yeyote. Rais Nkururiza sijui kafa kwa ugonjwa gani hasa ila naamini Corona haiwezi kupuuzwa kwenye hili. Tuwe makini bado
Hili ni kweli kabisa hapa mtaani kwetu ni mimi pekeee yangu navaa barakoa kanisani, yaani watu hawajali tena wengi wana kohoa wana mafua ila wapo tu.kuna baadhi ya nyumba za ibada zinadhihaki waumini wanaovaa barakoa na groves makanisani, yaaani wana discourage uvaaji wa barakoa na groves makanisani. Serikali itafakari kauli zinazoenda kwa wananchi....kuna baadhi ya viongozi wa nyumba za ibada ni WASHENZI, huwezi kupuuza tahadhari ukiwa vitani!!
Kama nilikuwa nikiamini kuwa CORONA hainiwezi maana ninaye Mungu baba, sasa nimeanza kufikiria tofauti. Kumbe lolote linaweza kutokea kwa yeyote. Rais Nkururiza sijui kafa kwa ugonjwa gani hasa ila naamini Corona haiwezi kupuuzwa kwenye hili. Tuwe makini bado
Hili ni kweli kabisa hapa mtaani kwetu ni mimi pekeee yangu navaa barakoa kanisani, yaani watu hawajali tena wengi wana kohoa wana mafua ila wapo tu.
Nimeangalia makanisa makubwa ya huko mjini kanisa lenye waumini zaidi ya elfu moja waliovaa barakoa hawafikii kumi.
Na hao wahubiri wanaanza kuwadhihaki watu kwa maneno ya kejeli.
Serikali iwaambie watu wachukue tahadhari wasijiachie hivyo.
Tusipuuze kunawa na sabuni na kuvaa barakoa maana vinaweza kukukinga na hata mavumbi, TB, Typhoid, kipindupindu na fluHili ni kweli kabisa hapa mtaani kwetu ni mimi pekeee yangu navaa barakoa kanisani, yaani watu hawajali tena wengi wana kohoa wana mafua ila wapo tu.
Nimeangalia makanisa makubwa ya huko mjini kanisa lenye waumini zaidi ya elfu moja waliovaa barakoa hawafikii kumi.
Na hao wahubiri wanaanza kuwadhihaki watu kwa maneno ya kejeli.
Serikali iwaambie watu wachukue tahadhari wasijiachie hivyo.
Tatizo letu sio kustaarabika, bali tunaishi kwa hisia sana.Ripoti ya daktari inasema kafa kwa mshtuko wa Moyo wewe unasema Corona hivi wabongo tuta staarabika lini?
KITU cha ajabu. Wuhan ilikoanzia ugonjwa huu wa covid 19 upo karibu na mji mkuu wa Beijing na pia WA BIASHARA WA SHANGAI. Haikuwekewa lockdown. NI NINI WALIFANYA HUKO CHINA? AU wana dawa. Niamini ile nguvu tuliyotumia kunawa mikono na kuvaa barakoa ndio iliyotuokoa. ILA SASA WATU WAMEZITUPILIA MBALI WANASEMA UGONJWA UMEISHA. SERIKALI HAISEMI HIVO INASISITIZA WATU WAENDELEE KUCHUKUA TAHADHARI. JE INACHUKULIWA TAHADHARI KWA SASA? Tufanye juhudi haraka tuhamasishe zaidi ya kuvaa barakoa na kunawa mikono. INATOSHA KABISAWatu tufanye kazi twende nyumba za ibada ila tuchukue tahadhari.
Kila kitu kifanyike ila tahadhari zichukuliwe.
Ugonjwa unawapenda matajiri na wazee.
Tena mwanajeshi wa kihistoria!!!!Mtu mzito Kama yule si wa kufa na vijimafua vya corona
Hata wale waliokuwa wabishi wameanza kuogopa na kuhofia vivuli vyao na maneno yao. Kumbe hakuna aliye salama.KITU cha ajabu. Wuhan ilikoanzia ugonjwa huu wa covid 19 upo karibu na mji mkuu wa Beijing na pia WA BIASHARA WA SHANGAI. Haikuwekewa lockdown. NI NINI WALIFANYA HUKO CHINA? AU wana dawa. Niamini ile nguvu tuliyotumia kunawa mikono na kuvaa barakoa ndio iliyotuokoa. ILA SASA WATU WAMEZITUPILIA MBALI WANASEMA UGONJWA UMEISHA. SERIKALI HAISEMI HIVO INASISITIZA WATU WAENDELEE KUCHUKUA TAHADHARI. JE INACHUKULIWA TAHADHARI KWA SASA? Tufanye juhudi haraka tuhamasishe zaidi ya kuvaa barakoa na kunawa mikono. INATOSHA KABISA
Kuna wafuasi wa chama fulani, wakumbushe tafadhaliKama nilikuwa nikiamini kuwa CORONA hainiwezi maana ninaye Mungu baba, sasa nimeanza kufikiria tofauti. Kumbe lolote linaweza kutokea kwa yeyote. Rais Nkurunziza sijui kafa kwa ugonjwa gani hasa ila naamini Corona haiwezi kupuuzwa kwenye hili. Tuwe makini bado