Ndio wale wenye pumu ni kugusa tu chaliiKwani Corona ilikuja kwaajili ya watu wepesi?
Ndio wale wenye pumu ni kugusa tu chaliiKwani Corona ilikuja kwaajili ya watu wepesi?
Kama nilikuwa nikiamini kuwa CORONA hainiwezi maana ninaye Mungu baba, sasa nimeanza kufikiria tofauti. Kumbe lolote linaweza kutokea kwa yeyote. Rais Nkurunziza sijui kafa kwa ugonjwa gani hasa ila naamini Corona haiwezi kupuuzwa kwenye hili. Tuwe makini bado
Misewe ubungoNkururiza alikua Rais wa nchi gani mkuu?
watakula wanaye.yani nkrunzinza hata hajui kafajekafaje fasta kiasi hicho bila kula mafao yake yaliyopitishwa (haraka)² na bunge lake dhaifu
Kweli?Nahisi Kuna mbinu chafu Wakenya
na mabeberu [emoji238] [emoji238] wanajfanyiaa Burundi na soon mbinu hiyo itaingizwa nchini.
Corona haipoKama nilikuwa nikiamini kuwa CORONA hainiwezi maana ninaye Mungu baba, sasa nimeanza kufikiria tofauti. Kumbe lolote linaweza kutokea kwa yeyote. Rais Nkurunziza sijui kafa kwa ugonjwa gani hasa ila naamini Corona haiwezi kupuuzwa kwenye hili. Tuwe makini bado
Haya ni mawazo ya mtu Mwenye akili kweliNahisi Kuna mbinu chafu Wakenya
na mabeberu [emoji238] [emoji238] wanajfanyiaa Burundi na soon mbinu hiyo itaingizwa nchini.
Yaani huu ugonjwa unakuwa watu unakuacha mdomo wazi manake huamini kweli fumbo ni kubwa kuliko tunavyoaminiWatu tufanye kazi twende nyumba za ibada ila tuchukue tahadhari.
Kila kitu kifanyike ila tahadhari zichukuliwe.
Ugonjwa unawapenda matajiri na wazee.
Ripoti ya daktari inasema kafa kwa mshtuko wa Moyo wewe unasema Corona hivi wabongo tuta staarabika lini?
Haya mnasemajeMama yake kafariki tena ,dada yuko hoi ,rais aliyechaguliwa na spika wote wapo hospital
Kurunziza kafa kwa ugonjwa wa moyo,Mama yake kafa kwa kisukari,Dada yake anaugua Kansa.Mke alipata Covid na hajafa.Unasemaje hapo?Haya mnasemaje
Tatizo humu hatufahamiani, nilitaka nikuone/nikufahamu maana comment hii imeniacha hoi!Watu tufanye kazi twende nyumba za ibada ila tuchukue tahadhari.
Kila kitu kifanyike ila tahadhari zichukuliwe.
Ugonjwa unawapenda matajiri na wazee.
Wengine wanaweka maji nje ya makanisa lakini sabuni ya unga wanayoyeyusha kwenye maji, ukiweka kiganjani wala huhisi kama kuna sabuni; ni kama wanaweka kugeresha tu - hawako seriuos kabisa!kuna baadhi ya nyumba za ibada zinadhihaki waumini wanaovaa barakoa na groves makanisani, yaaani wana discourage uvaaji wa barakoa na groves makanisani. Serikali itafakari kauli zinazoenda kwa wananchi....kuna baadhi ya viongozi wa nyumba za ibada ni WASHENZI, huwezi kupuuza tahadhari ukiwa vitani!!
Tuseme nini sisi madaktari?Haya mnasemaje
Thank youuuuuuuuuuu.Kurunziza kafa kwa ugonjwa wa moyo,Mama yake kafa kwa kisukari,Dada yake anaugua Kansa.Mke alipata Covid na hajafa.Unasemaje hapo?
Serikali inasema hivyo ila inafanyaje? Umewahi kumuona kiongozi mkubwa kavaa barakoa, si ulisikia sp alivyoambiwa kwa kuvaa barakoaSERIKALI HAISEMI HIVO INASISITIZA WATU WAENDELEE KUCHUKUA TAHADHARI.
Hiyo habari ni ya kweli? -umeongeza chumvi sanaMama yake kafariki tena ,dada yuko hoi ,rais aliyechaguliwa na spika wote wapo hospital
Yeyote anaweza kufa kwa corona, tayari alikufa binti mfalme wa Uhispania, mwana mfalme wa Uingereza Prince Charles alinusurika, waziri mkuu wa Uingereza alinusurika, mawaziri kibao wa Ulaya na America wanekufa au kunusurika. Jiwe alijifungia miezi miwili akijiuguza na kumuuguza mwanae, ....Na sasa anasema hakuna corona wakati tunajua watu wengi wanajiuguza majumbani na wengine wanafariki. Kweli siasa mchezo mchafu.Kama nilikuwa nikiamini kuwa CORONA hainiwezi maana ninaye Mungu baba, sasa nimeanza kufikiria tofauti. Kumbe lolote linaweza kutokea kwa yeyote. Rais Nkurunziza sijui kafa kwa ugonjwa gani hasa ila naamini Corona haiwezi kupuuzwa kwenye hili. Tuwe makini bado