kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
- Thread starter
- #61
Kosa la marehemu hakuvaa barakoaAlihudhuria mpira jumamosi akiwa mzima,,jumapili pia akaonekana mzima kabla hajaugua ghafla na kupelekwa hospital,,jumatatu,,jumanne kafariki,,
Kosa lililofanyika baada ya wife kuugua alitakiwa apime asap kwahiyo kama kulikua na shida ingeonekana kabla tatizo halijawa kubwa,hivi ndivyo waliweza kumwokoa pm wa UK,wangechelewa kidogo nae alikuwa anapotea