Ninalo basi ba ndugu mie nashangaa kwa kweli watu wanavyopenda kuisingizia korona
Kwani Corona inauwa? Unayo haki ya kushangaa mkuu.
Ninalo basi ba ndugu mie nashangaa kwa kweli watu wanavyopenda kuisingizia korona
Covid 19 attacks the lungs, heart, kidneys and blood vessels seriouslyRipoti ya daktari inasema kafa kwa mshtuko wa Moyo wewe unasema Corona hivi wabongo tuta staarabika lini?
Labda shida iko pale tu ambapo mheshimiwa kufa kwa ugonjwa ambao aliupuuza na hakuchukua hatua za kisayansi .Amekufa au hajafa? au ikijulikana kafa kwa Corona ataoza na ikijulikana kafa kwa ugonjwa wa moyo hatooza?
Kwanini chanzo cha kifo cha mtu kikuumize sana kichwa? Unapata faida au hasara gani juu ya hilo?
Boost your immune system tu,Labda shida iko pale tu ambapo mheshimiwa kufa kwa ugonjwa ambao aliupuuza na hakuchukua hatua za kisayansi .
Mke wake bado anatibiwa Corona huko kwa mtoto wa Kenyata,sijui hata kama anajua mumewe kafariki.Kama nilikuwa nikiamini kuwa CORONA hainiwezi maana ninaye Mungu baba, sasa nimeanza kufikiria tofauti.
Kumbe lolote linaweza kutokea kwa yeyote. Rais Nkurunziza sijui kafa kwa ugonjwa gani hasa ila naamini Corona haiwezi kupuuzwa kwenye hili.
Tuwe makini bado
Si alishtuka na kufa baada ya kujua kua ana depotivo la Corona!!Ripoti ya daktari inasema kafa kwa mshtuko wa Moyo wewe unasema Corona hivi wabongo tuta staarabika lini?
Daktari ndio kasema hayo au ni wewe kwa hisia zako? Ulikuwepo? Unaijua historia ya mgonjwa?Si alishtuka na kufa baada ya kujua kua ana depotivo la Corona!!
Sasa wewe unatetea nini?
Yaani maswali yooote hayo ni juhudi za kunizuia nisiseme kafa kwa corona au una jingine?Daktari ndio kasema hayo au ni wewe kwa hisia zako? Ulikuwepo? Unaijua historia ya mgonjwa?
Akifa kwa Corona au kwa TB unapungukiwa au kuongezeka nini?Yaani maswali yooote hayo ni juhudi za kunizuia nisiseme kafa kwa corona au una jingine?
Naunga mkono hojaMtu mzito Kama yule si wa kufa na vijimafua vya corona
Asante kwakunirekebisha mkuu.Sawa lakini ''tahadhali'' waachie watoto wadogo wasiojua kutamka maneno vizuri... wakubwa tunasema ''tahadhari''
Nitamshukuru na kumsifu sana Mwenyezi Mungu kama Wakenya na madume ya mbuzi watafanikiwa!Nahisi Kuna mbinu chafu Wakenya
na mabeberu [emoji238] [emoji238] wanajfanyiaa Burundi na soon mbinu hiyo itaingizwa nchini.
Binadamu Hujisahau sana hasa watawala wapumbavu wa Afrika hudhani wataishi mileleKama nilikuwa nikiamini kuwa CORONA hainiwezi maana ninaye Mungu baba, sasa nimeanza kufikiria tofauti.
Kumbe lolote linaweza kutokea kwa yeyote. Rais Nkurunziza sijui kafa kwa ugonjwa gani hasa ila naamini Corona haiwezi kupuuzwa kwenye hili.
Tuwe makini bado
Umeandika vitu vingi muda mchacheInategemea mwili wako unareact vipi na hao virus,,kwa wengine virus wanapoingia kwenye cell za damu,ACE2Receptor kunakuwa na inflimation,,ambayo kwa wengine immunity yao inafanya kazi in excess na kutranslate kama cell zinabust,inafanya cytokine ifanya overeaction ya kugandisha damu kunako mishipa ya damu,kitu kinachopelekea cardiac arrest au stroke ama heart attack
Beberu akumbatiwi weeewe[emoji15] beberu ni zee la miba wewe, ukilikumbatia unatoboka matundu chaliiangu ona kilichomkuta Nkurunzinza chaliangu, kawa matobo tayari. Unakumbatia beberu??? Hapa tukiumwa ni hukihuku hata tukifa hatulii lakini hatuendi kutibiwa kwa beberu mangi[emoji848] mbulaa acha nijifukize kwanza..Mkuu umekula naona bado unaakili za lumumbaa mnawananga mabeberu uku mnawakumbatia bulishit
Alijichanganya kwenda kutibiwa kwa mabeberu arifu.Mtu mzito Kama yule si wa kufa na vijimafua vya corona
Hii ni kwa madaktari wenye degree tanoUmeandika vitu vingi muda mchache