Kifo cha Rais Nkurunziza kimepunguza kujiamini kwangu

Kifo cha Rais Nkurunziza kimepunguza kujiamini kwangu

Pierre ni noma sana,siku ya maadhimisho ya kitaifa ya Mei mosi mbele ya wafanyakazi wote hapo uwanjani alimuita binti yake nakumpa medali ya kitaifa kwa kua binti msikivu na kufanya kazi za nyumbani kwa bidii.

Eti na bado tunashangaa Africa kua bara la giza.
 
Kama nilikuwa nikiamini kuwa CORONA hainiwezi maana ninaye Mungu baba, sasa nimeanza kufikiria tofauti.

Kumbe lolote linaweza kutokea kwa yeyote. Rais Nkurunziza sijui kafa kwa ugonjwa gani hasa ila naamini Corona haiwezi kupuuzwa kwenye hili.

Tuwe makini bado
Mke wake yupo Nairobi anaumwa Covid 19
 
kuna baadhi ya nyumba za ibada zinadhihaki waumini wanaovaa barakoa na groves makanisani, yaaani wana discourage uvaaji wa barakoa na groves makanisani. Serikali itafakari kauli zinazoenda kwa wananchi....kuna baadhi ya viongozi wa nyumba za ibada ni WASHENZI, huwezi kupuuza tahadhari ukiwa vitani!!
Hao viongozi wa dini mnawaonea bure,shida ipo kwa Nkurunzinza
 
Mama yake kafariki tena ,dada yuko hoi ,rais aliyechaguliwa na spika wote wapo hospital
Hapa kwetu mbona wanadunda,je sisi tunakosa gani hasa?au siku bunge linavunjwa ndo muujiza utatokea?
 
Ripoti ya daktari inasema kafa kwa mshtuko wa Moyo wewe unasema Corona hivi wabongo tuta staarabika lini?
You mean heart attack? Isome Covid 19 vizuri nadhani hujaisoma.ungeisoma usingeandika ulixhoandika
 
Tatizo letu sio kustaarabika, bali tunaishi kwa hisia sana.
Heart attack ni moja ya njia zinazotumiwa na covid-19 kurestisha watu. Tunaweza kutafuta majina mengine mazuri Kama kushindwa kupumua,heart attack but watu wanaondoka everyday
 
Inategemea mwili wako unareact vipi na hao virus,,kwa wengine virus wanapoingia kwenye cell za damu,ACE2Receptor kunakuwa na inflimation,,ambayo kwa wengine immunity yao inafanya kazi in excess na kutranslate kama cell zinabust,inafanya cytokine ifanya overeaction ya kugandisha damu kunako mishipa ya damu,kitu kinachopelekea cardiac arrest au stroke ama heart attack
Mkuu wasaidie hawa vilaza wa ccm maana hawajui Kama huyu clinical finisher ana tactics za kutisha. Anatupia nyavuni kwa style tofauti toufuti
 
Yeyote anaweza kufa kwa corona, tayari alikufa binti mfalme wa Uhispania, mwana mfalme wa Uingereza Prince Charles alinusurika, waziri mkuu wa Uingereza alinusurika, mawaziri kibao wa Ulaya na America wanekufa au kunusurika. Jiwe alijifungia miezi miwili akijiuguza na kumuuguza mwanae, ....Na sasa anasema hakuna corona wakati tunajua watu wengi wanajiuguza majumbani na wengine wanafariki. Kweli siasa mchezo mchafu.
Mkuu jiwe hajapata corona Wala mtoto wake ule ulikuwa uongo.Jiwe hawezi akapata corona tusimfukie? No way
 
Sasa kwani mimi nimebisha niwashangae nyie mtu akipatwa hata na mafua au alikuwa na ugonjwa wa siku nyingi ikitokea gafla kafariki anaanza kunyooshewa vidole tushukuru Mungu huku Africa mkono wa Bwana ulitenda mema na tusichoke kuomba na kushukuru mauti ilikuwepo toka enzi ya Adamu na Hawa naitaendelsa kuwapo hofu yetu ni kutangulia lakini mwisho wa siku kufa ni faida kuishi ni Kristo
Covid_ 19 ni clinical finisher,hapa Tanzania hapewi heshima yake ili kulinda uzembe wa Magufuli Ila Covid 19 ndo ana harakisha vifo vya ndugu zetu waliokuwa wanasimbuliwa na kisukari,kansa,ukimwi,pressure etc
 
Hili ni kweli kabisa hapa mtaani kwetu ni mimi pekeee yangu navaa barakoa kanisani, yaani watu hawajali tena wengi wana kohoa wana mafua ila wapo tu.

Nimeangalia makanisa makubwa ya huko mjini kanisa lenye waumini zaidi ya elfu moja waliovaa barakoa hawafikii kumi.

Na hao wahubiri wanaanza kuwadhihaki watu kwa maneno ya kejeli.

Serikali iwaambie watu wachukue tahadhari wasijiachie hivyo.
Ivi ukisalia nyumbani kwako Mungu hakusikii? Kwanini mnajitia majaribuni?
Mungu yupo kila maali la msingi ni utayari wako na Imani.
 
You mean heart attack? Isome Covid 19 vizuri nadhani hujaisoma.ungeisoma usingeandika ulixhoandika
Kwa hiyo tangu Corona iingie magonjwa mengine yamesimama? Hatuna tena wagonjwa wa moyo bali tuna wagonjwa wa Covid 19 duniani.
 
Serikali inasema hivyo ila inafanyaje? Umewahi kumuona kiongozi mkubwa kavaa barakoa, si ulisikia sp alivyoambiwa kwa kuvaa barakoa
Vitendo vya viongozi vinaashiria kuwa corona imekwisha na hivyo tahadhari kama za barakoa na kunawa nsi muhimu sana - they dont walk the talk!

Hivi umewahi kumuona Trump na wafuasi wake wamevaa barakoo au raisi wa china ni
 
Back
Top Bottom