Kifo cha Sokoine: Watoto wake wataka mwili uchunguzwe kubaini kama alikufa kwa ajali au la!

Upo vizuri πŸ˜‚πŸ˜‚ Bravo
 
Sokoine hakukaa kiti cha nyuma, Kuna mtu daktari bingwa Tena profesa alitoa kauli serikali ndio ilimuua Sokoine. Alipoulizwa alisema kitendo cha marehemu kukaa mbele na body guard kukaa nyuma ndicho kilisababisha kifo chake,, tangia hapo utaratibu wa viongozi kukaa mbele ukabadilishwa.
 
huku duniani ni shida.yani ukitaka kuukaa maisha marefu usiguse maslahi ya watu.ndiyo maana wema huwa hawaishi miaka mingi.hiyo ndyo formula mjomba.

maswali ni mengi .je kwenye ajali hiyo alikuwa SOKOINE TU au na dreva alikufa? hivi kwnye msafara huwa anaingia kwnye gari mhusika tu na dreva wake?
 
Wapewe huo mwili wachunguze then tuendelee na michakato mingine
 
Labda wasiojulikana walihusika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…