Kifo cha Stan Katabaro kilivyoharibu legacy ya hayati Mzee Mwinyi

cc Pascal Mayalla
 
Basi Stan mda wote huo alikuwa akimtegea tu getini ahera juzi akamkaribisha na mfululizo wa makofi nakumuambia ulidhani hutawai kuja huku mimi mwenyeji sasa haya faster piga marktime
 
Mkapa aliuza Nbc,TCC na TBL kwa bei ya kutupa huku mashirika hayo yakiwa yanatengeneza faida,ni yeye pia aliyeiingiza nchi katika mikataba mibovu ya uchimbaji wa madini,ni yeye pia ndiye aliyeleta kampuni kutoka Afrika Kusini(Net Group Solutions) kuja kuendesha shirika la umeme ambapo matatizo ya shirika la umeme tuliyonayo hivi sasa yalichangiwa pia na uamuzi huo maana jamaa wakati wakisimamia menejimenti ya shirika hawakuwahi kufanya uwekezaji wowote wa kuimarisha miundombinu ya uzalishaji umeme.
Lakini pia wakati wa mkapa ndiyo ililetwa kampuni ya wahindi kuja kusimamia menejimenti ya shirika la reli ambapo katika jitihada za kulinusuru shirika ilibidi itumike gharama kubwa ili kuvunja nao mkataba.
Je tuseme naye alikuwa Mzanzibari? Hata hivyo lengo lako kubwa lilikuwa ni Uislamu ila hiyo Wazanzibar umelitumia kama geresha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…