Kwanini tunawakejeli na kuwafedhehesha familia na ndugu wa marehemu. Tunufanya dhihaka ikiwa wao bado wakiwa katikati ya kipindi kigumu cha majonzi mazito?
Saidi Mwema tunaomba Erick Shigongo akamatwe na awekwe ndani na dhamana yake futilia mbali! Huyu jamaa kwanza ni mpotoshaji wa jamii kupitia magazeti yake ya Udaku!
Shigongo atajitetea kuwa na yeye amepata habari kutoka kwa chanzo chake.
Tatizo la magazeti ya udaku yanaandika habari yeyote tu hata chanzo cha habari kikiwa ni mwendawzimu lakini wao hawajali.