Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Jamani haya ya Kanumba tuyaache, tujadili ishu ya katiba na wasifu wa wajumbe wa tume ya katiba
 
Tutasikia mengi sana, ni sawa na yale ya miaka ile mara Sokoine kaonekana Mjengoni.
 
binadamu kwa kuhukumu, hata kama wanachokiongea hawana ushahidi nacho......................

Ushahidi upo kwani mama yake lulu alisema wanamtegemea lulu kwa kila kitu na ndiyo maana akaomba watu wamsaidie kwani yeye hana uwezo.
 
Kwanini tunawakejeli na kuwafedhehesha familia na ndugu wa marehemu. Tunufanya dhihaka ikiwa wao bado wakiwa katikati ya kipindi kigumu cha majonzi mazito?
 
Saidi Mwema tunaomba Erick Shigongo akamatwe na awekwe ndani na dhamana yake futilia mbali! Huyu jamaa kwanza ni mpotoshaji wa jamii kupitia magazeti yake ya Udaku!
 
Shigongo atajitetea kuwa na yeye amepata habari kutoka kwa chanzo chake.
Tatizo la magazeti ya udaku yanaandika habari yeyote tu hata chanzo cha habari kikiwa ni mwendawzimu lakini wao hawajali.
 
bado sana..hii issue ya kanumba itauza magazeti ya udaku mpaka mwezi wa sita hivi..kwahiyo ngoma bado mbichi..na mtasikia mengi sana!!!
 
Wazazi wa hako kabinti wanabeba lawama zote.
Kama inawezekana wangetupiwa Segerea wao na halo katoto kangeachwa huru kaendelee na ukahaba wake.
 
"Lisemwalo lipo na kama halipo hakika laja"


Tutasikia mengi sana! Tusubirie kidogo tu!
 
Back
Top Bottom