Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Inawezekana kwenye banda la kuangalia filamu la makuti alimokuwa anaingia kideo pekee kilikuwa picha za Steven.
 
To be serious, I don't see msanii yeyote wa kibongo kuwa kioo cha jamii. They are fake na wanalazimisha their celebratory status, very lame indeed! Mfano angalia mademu waliozimia ile siku, utakuta yote yale ni maigizo ili waandikwe magazetini to boost up their status.
 
Hii habari kaandika wassira au lusinde?? Pumbafu sana yaani hapo siri nzito iko api
 
Mtoto keshasherehekea miaka 18, saizi anadai ni chini ya miaka 17. Ndiyo bongo!! Sijui kama anakumbuka au ndiyo chetu kinasema hivi na hiyo ilikuwa interview.
 
Mtoto keshasherehekea miaka 18, saizi anadai ni chini ya miaka 17. Ndiyo bongo!! Sijui kama anakumbuka au ndiyo chetu kinasema hivi na hiyo ilikuwa interview.
Jamani tusiwe wagumu kuelewa, cheti kinaonesha anatimiza miaka 17 jumanne ijayo. Hayo mahojiano yalikuwa motivated na mpango wake wa kutaka kuruhusiwa kuingia disco na kuuziwa pombe. Mbona akidanganya hana boyfriend wala hamuhoji?
 
Mahakamani kitakachojalisha ni kile kilichopo kwenye nyaraka halali.

Hivi watu wangapi mmekutana nao wakiulizwa umri wanadanganya?hasa watoto(teens)...ndio maana wenzetu kununua sigara,kuingia club etc unaonyesha id,kitakachothibitisha umri wake ni cheti chake cha kuzaliwa siyo maelezo aliyotoa kwenye tv au movie
 
Mahakamani kitakachojalisha ni kile kilichopo kwenye nyaraka halali.

Bahati mbaya kwamba kwa uozo wa mifumo ya nchi yetu; nyaraka HALALI zinatengenezeka unavyotaka zisomeke as long as wawajua wahusika au MADALALI WAO na una hela wanayohitaji...
 
Bahati mbaya kwamba kwa uozo wa mifumo ya nchi yetu; nyaraka HALALI zinatengenezeka unavyotaka zisomeke as long as wawajua wahusika au MADALALI WAO na una hela wanayohitaji...

Mbaya zaidi marehemu hana haki!
 
Habari wana jamvi wenzangu?
Mi leo nimeamka na hii,baba yake Steve Kanumba(Mungu amlaze panapostahili), Mzee Charles Kanumba kaweka bayana sababu ya mwanae kutozikwa kwao Mwanza kwa babu yake ambaye ni baba wa mzee C.Kanumba...
Mzee C.Kanumba alidai kuwa kwao kabisa ni mkoani Mwanza, wilaya ya Magu katika sehemu moja inayoitwa Nasa(pembeni kidogo ya Magu mjini, barabara iendayo Musoma)....
Hivyo mwanae alipaswa akazikwe huko kwao walipozikwa ndugu zake wengi tu waliotangulia kabla yake..
Ila tatizo ni miundo mbinu ya huko ni mibovu hivyo ingewachukua muda mrefu na fedha nyingi kuikarabati na kuifanya ivutie kwa ajili ya mazishi mtu maarufu sampuli yake.Alidai hiyo ndio sababu kubwa iliyomfanya kuridhia mwanae kuzikwa Dar es salaam katika makaburi ya Kinondoni.
Pendekezo langu:Wanajf wenzangu tupakumbuke na tupakarabati nyumbani kwetu pamoja na kujiandaa maana hatujui siku wala saa
CHANZO CHA HABARI: Gazeti la Mzawa kutoka Mwanza hutolewa kila Jumamosi.
 
mkuu utamaduni wa kujenga tulikokotoka unapondwa sana na watu wengi , eti kwa nini ujenge nyumba kijijini wakati muda mwingi uko mjini
 
Back
Top Bottom