Igangilonga
Senior Member
- Mar 11, 2006
- 133
- 27
Wabongo ni washamba sana, mnaishi kwa kudhania kama mgambo. Mijitu haijawahi kuona cheti cha kuzaliwa inakomaa kuwa imeona interview amesema ana 18. The same interview alisema hana boyfriend na kakutwa kwa SK usiku wa manane. Msizoee hear say kama vicheche, muwe mnajishugulisha kutafuta evidence sio kukaa tu nyuma ya keyboard. Ndo maana Lusinde alisema mnatishia kujamba ilhali mnaharisha
Lakini ni ukweli kuwa aliongea hivyo kwenye EATV kipindi cha Mkasi kuwa ana miaka 18, kwanini unasema watu wanatunga? The words came from the horse's mouth, why should people doubt??