Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli kabisa hy baba alikuwa wapi siku zote kakaa kimya, amesubiri binti yake kapata matatizo mazito ndio anajitokeza, alipokuwa anaona picha zake za ajabu alikuwa wapi??huyu baba alikuwa wapi siku zote tunaulizana huyu mtoto hivi kweli anawazazi?
Alafu namwangalia anaoneka anabusara zake tu za kutosha, huyu mtoto alimshindia wapi?
Vituko vyote alivyokuwa anafanya mwanae kwenye media alikuwa wapi ?
kweli tuache sheria ichukue mkondo wake!!!!!
wameyakalisha mtoto akauze mbunye awalishe...hawana hata haya kujitokeza hadharani ptyuuuuuu!
hiyo hapo kwenye red ni lugha gani na unamaanisha nini?
wameyakalisha mtoto akauze mbunye awalishe...hawana hata haya kujitokeza hadharani ptyuuuuuu!
tusimhukumu kanumba huyu binti ni muongo sana hata polisi aliwadanganya umri anasema ana miaka 18 ili aonekane ni mkubwa kisheria!inawezekana kabisa alimdanganya hata umri kanumba,ikiwa alikuwa anaendesha na gari na leseni anayo alikwezaje kuipata hii leseni kama hakudanganya umri,yaani ana mengi ya kujibu atakayoyaibua yeye mwenyewe!
hii ndo siri nzito???????????
Umeshakifahamu kifo chako kama kitakuwa cha namna gani? Kakwambia nani walifanya mapenzi? Je mahusiano ni lazima kufanya mapenzi?Think twice!