Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Mi nashndwa kushangaa jaman, kumbe huyu binti wazazi wake walikuwepo muda wote wa vimbwanga vyake???
"stich in time saves nine".
Ni hayo
 
kama mtoto hakuwa na adabu (haambiliki) wazazi wangemfanya nini? pengine walinyoosha mikono kama walimwacha loose makusudi basi hao ni aina ya wazazi wanaothubutu hata kuwatuma watoto kwenda kuiba au kujiuza au hawajali wanayofanya watoto wao.
 
wameyakalisha mtoto akauze mbunye awalishe...hawana hata haya kujitokeza hadharani ptyuuuuuu!
 
Licha ya kufa kizembe lazima nikiri huyu jamaa alikuwa maarufu. Angalia wakati wa msiba wake;

1.Macho na masikio ya serikali yote yalikuwa sinza ndo maana viongozi wote kuanzia rais,makamu wake,waziri mkuu,mawaziri,mbalimbali,wabunge,vyombo vyote vya usalama,serikali ya mkoa na wilaya zote za Dsm ilikuwa sinza
2.Macho na masikio ya media zote (redio,magazeti,blogs n.k.) yalikuwa sinza,
3.Maazimisho ya kifo cha waziri mkuu wa zamani Sokoine yamepita kimyakimya km panya anavyopita chini ya mlango,hakuna mwenye habari
4.Hakuna mwenye habari km aliyekuwa mkuu wa majeshi katutoka huko Mwanza
5.Kazi hazifanyiki huko maofisini, kila unayemwona anazungumzia kifo cha SK
6.Hata baada ya mazishi maongezi na minon'gono ni kuhusu kifo cha SK
7.Sio watu wengi wanaokiri jamaa alifariki kizembe akifanya uzinzi tena na kitoto kidogo!
8.Kila mtu anadai jamaa ni shujaa anayepaswa kuigwa!
 
Hayati Kanumba na Lulu walipishana miaka 10 ambayo ni kawaida kwa wapenzi kupishana... Tusishangae sana hilo maana hawa watoto wa siku hizi hawakawii kutembea na babu zao kisa pesa!!
 
the great amekufa jamani lzm tukubali hamna jinsi hata kama is a bitter pill to swallow, watu wasijiuwe jamani mana wanaachia ndugu zao machungu!
 
huyu baba alikuwa wapi siku zote tunaulizana huyu mtoto hivi kweli anawazazi?
Alafu namwangalia anaoneka anabusara zake tu za kutosha, huyu mtoto alimshindia wapi?
Vituko vyote alivyokuwa anafanya mwanae kwenye media alikuwa wapi ?
kweli tuache sheria ichukue mkondo wake!!!!!
kweli kabisa hy baba alikuwa wapi siku zote kakaa kimya, amesubiri binti yake kapata matatizo mazito ndio anajitokeza, alipokuwa anaona picha zake za ajabu alikuwa wapi??
 
wameyakalisha mtoto akauze mbunye awalishe...hawana hata haya kujitokeza hadharani ptyuuuuuu!

We mambo ya malezi huyajui.. Siku binti yako akikujia ana mimba,au ukigundua katoa mimba,utakubali ulaumiwe kuwa hukumkanya? Kweli?

Heri ya wale wenye familia bora..
 
tusimhukumu kanumba huyu binti ni muongo sana hata polisi aliwadanganya umri anasema ana miaka 18 ili aonekane ni mkubwa kisheria!inawezekana kabisa alimdanganya hata umri kanumba,ikiwa alikuwa anaendesha na gari na leseni anayo alikwezaje kuipata hii leseni kama hakudanganya umri,yaani ana mengi ya kujibu atakayoyaibua yeye mwenyewe!

kweli mwaya baambie hao mtoto kicheche huyo analo!
 
wakuu naomba mnitoe tongotongo kwani sijazisoma sana sheria zetu kuhusu age vs marriage/relatioship.

i have stumbled on the following quote somewhere....


Family Code:

The rights of Tanzanian women within the family are poorly protected. The minimum legal age for marriage is 15 years for women and 18 years for men, but the law allows exceptions for girls aged 14 years under"justifiable" circumstances. The Penal Code permits citizens of African or Asian origin to marry off their daughters younger than 12 years old, provided the marriage is not consummated until the girls reach this age. There is a high incidence of early marriage in Tanzania: a 2004 United Nations report estimated that 25 per cent of girls between 15 and 19 years of age were married, divorced or widowed.


je, kuna mabadiliko katika sheria zetu kiasi cha kumfanya huyu binti lulu awe regarded as "under-age" na kutokuwa na uhusiano na mwanamume??
 
Umeshakifahamu kifo chako kama kitakuwa cha namna gani? Kakwambia nani walifanya mapenzi? Je mahusiano ni lazima kufanya mapenzi?Think twice!

Wewe ni mwehu! Kanumba amefia kwenye uharamia wa ngono na mtoto wa miaka 17!!! Ni wajinga wasio na moyo wa uzazi waliogubikwa naushabiki kuliko uhalisia wa ukweli!
 
Back
Top Bottom