Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,718
- 1,441
Acha uvivu wa kufikiri, ulikuwepo kwenye hilo sakata?.Sasa wewe na hao wanaoshabikia (Wafu fm ) na wewe mna tofauti gani.!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

si alikuwa anasema ni kama mdogo wake ..so ni dada mtu...tehe tehe teheHivi Lulu ni mke wa Kanumba? au hawala yake!
Angalau kwa mara ya kwanza leo nimesoma watu wakiandika upande wa pili wa Kanumba. Manake habari ilikuwa Kanumba Kanumba Kanumba the great.
Lakini pia leo ntashuhudia watumishi wa Mungu ambao hugoma kuendesha ibada za "wadhambi" kama walivyogoma kuendesha ibada ya marehemu rafiki yangu, wakiendesha ibada ya kumwombea marehemu aliyeRIP akifanya ngono na mtoto mdogo.
Chezeya Tanzania yangu??
Wana Jf,
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ambayo niseme kabisa ni ya hovyo kabisa kuhusu matokeo ya uchunguzi wa madaktari baada ya kuufanyia mwili wa marehemu uchunguzi.
Ujinga huo nimeusikia kupitia power bfast ya clouds leo. Haiingii akilini kwa watu walioaminiwa kusema ukweli wakaishia kupokea maelekezo kutoka kwa wenye 'mali zao' na hatimaye kupindisha matokeo na kuishia kutoa maujinga yao kama ripoti ya kitaalam. Kanumba alikuwa katika tifu zito baada ya kubaini kicheche wake anajadili miadi mingine. Ili kukwepa simu yake isikwapuliwe na Kanumba, na hakika kulinda namba ya bwana ake, Lulu alifanya kila aliloweza hii ikiwa ni pamoja na kusukumana na kutwangana na vitu vizito. Huu ndio ukweli na sio ujinga walioutangaza.
Jeshi la polisi nalo liwe na uzalendo, wamezoea sana kuficha ukweli hasa wakijua kuna mkubwa anahusika. Nadhani wote mnakumbuka mauaji ya mwandishi wa dira huko Mwanza na maripoti ya hovyohovyo ya polisi.
Lulu ndio chanzo cha kifo cha Kanumba hata kama madaktari watang'ang'ana na ujinga wao wa mtikisiko wa akili. Upuuzi mtupu hapa. Na clouda nao ndio wakaileeemba utadhani hata wanajua undani wa kifo hicho, hawa nao... Mbona hamkusema kuhusu simu aliyopigiwa Lulu kabla ya ugomvi wao? Sasa taarifa zilizozagaa ni kuwa alipigiwa simu na waziri wa JK ndio maana wanajaribu kuua soo kwa kudai eti unaweza kukumbwa na mtikisiko wa ubongo halafu ukaanguka chini na kufa. Kawadanganyeni watoto wenu mataahira.
Mwisho ndugu zangu tuache ubaguzi. Kifo ni kifo hata ufie ikulu ni kifo tu. Tuwe na uzalendo.
Ni mimi,
Pangu Pakavu.
Nani kakwambia the great kapumzika?
Nipe andiko kwamba mtu akifa kapumzika!
kasafishwaje wakati haijasemwa huo mtikisiko kwa Kanumba umesababishwa na nini? Kuna mambo hayajawekwa wazi bado nadhani yaliyobaki ni ya kipolisi zaidi kwa upelelezi..