Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Acha uvivu wa kufikiri, ulikuwepo kwenye hilo sakata?.Sasa wewe na hao wanaoshabikia (Wafu fm ) na wewe mna tofauti gani.!
 
Join Date : 2nd September 2011
Posts : 190
Rep Power : 370
Likes Received72
Likes Given0

HOSSAM WEWE NI MEMBER WA SIKU NYINGI NAAMINI HUO MWAKA AUJAFOJIWA KUINGIA JF
NASHTUKA UFAHAMU WAKO KAMA KWELI HATA KAMA ULIKUWA MCHANGA MWAKA MZIMA UKIWA JF UNAWEZA KUKUA KIAKILI..KWA HILI LA KUSHINDANA NA MAJIBU YA DK NAHIISI SOON UTAPATA MTIKISIKO WA UBONGO NA SIPENDI KUPOTEZA MWANA JF NAOMBA UKUBALI HALI HALISI NA KAMA WACHACHE TULIVYOSEMA LULU HANA KESI NA HUO NDIO UKWELI HALISI..ALIPENDA KUPITA KIASI KA AKA YETU AKIJUA ANAPENDA BOYA NA HAYO NDIO MATOKEO YAKE..SIJUI LULU ALIKUWA AKIMPA NINI CHA ZIADA SISEMI MENGI ILA KWA PICHA HII UTAAMINI SIO TU KANUMBA HATA WEWE UNAWEZA PATA MSHTUKO WA UBONGO AKIKUVULIA NGUO HUKU ANAPIGIWA SIMU NA WANAUME WENGINE

 
x2_bed5cdb

AqGkJ0qCAAAiNzO.jpg:large





AqGlx6dCQAAnoXv.jpg:large





AqGrxbJCEAEaK11.jpg


AqGmXmRCMAAhvYj.jpg:large



x2_bed6b47


AqGvLBVCQAIThXH.jpg


AqGuNtYCEAEpbp2.jpg


x2_bed7e00
 
walichosema madaktari ni kweli kbs ila kinachotakiwa kuchunguzwa na polisi ni nini chanzo cha mtikisiko huo na je Lulu anahusika? Na nadhani Lulu atahusika moja kwa moja.
 
sasa msiba si utakuwa kama wa maspy...kila mtu mawani meusi

enzi hizo msibani, shuruti kwa kuvaa kanga, nyingine unajitanda au vipi unatupia begani, miguuni ndala au sandozi umemaliza...siku hizi vimino vyeusi, make ups, wanaume suti na grooming kama wanaenda harusini, miwani, makofia ya fasheni...hata kulia ni kiushkaji wasije waka ji paint na mchanganyiko wa mascara, poda za uso na lipstick....
 
Ingekuwa kila mtu anachunguzwa hivi hamna ambaye angezikwa hata uliyeanzisha
thread pia...dhambi sio uzinzi tu hata kutosamehe ni dhambi na haustahili kuzikwa..
 
Angalau kwa mara ya kwanza leo nimesoma watu wakiandika upande wa pili wa Kanumba. Manake habari ilikuwa Kanumba Kanumba Kanumba the great.

Lakini pia leo ntashuhudia watumishi wa Mungu ambao hugoma kuendesha ibada za "wadhambi" kama walivyogoma kuendesha ibada ya marehemu rafiki yangu, wakiendesha ibada ya kumwombea marehemu aliyeRIP akifanya ngono na mtoto mdogo.

Chezeya Tanzania yangu??

Rafiki yako alikuwa mlevi na hakuwa celebrity
 
haha... mleta mada umechanganya mambo .. kuna tofauti kati ya ubongo na akili.... kanumba inaelekea alisukumwa au kupigwa na kitu kizito ndio mtikiso wa ubongo ukatokea... wataalamu wanasema na mtu hufariki ghafla kama akigongwa au akaanguka kwa kisogoni na mtikisiko ukatokea... yote kumi.
kulikuwa na external force ... either alisukumwa au alipigwa ..
 
Nnachojua mm brain concussion ambayo ndo mtksiko wa ubongo lazma kuwe na k2 klchosababsho huo mtksiko mfano kupgwa na k2 kzto,dats ol i knw
 
Sasa Jamani Tuwe na Uwazi Kidogo!! Je Huyu Binti kwa maskendali yake ni Mtu wa kuweza kudhibitiwa simu na mtu yeyote Kweli? Nadhan kwa Kanumba alikuwa amefanya Wrong choice na Kufanya autese moyo wake Bila sababu yoyote Hadi kusababisha Kifo Chake
 
Wana Jf,
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ambayo niseme kabisa ni ya hovyo kabisa kuhusu matokeo ya uchunguzi wa madaktari baada ya kuufanyia mwili wa marehemu uchunguzi.

Ujinga huo nimeusikia kupitia power bfast ya clouds leo. Haiingii akilini kwa watu walioaminiwa kusema ukweli wakaishia kupokea maelekezo kutoka kwa wenye 'mali zao' na hatimaye kupindisha matokeo na kuishia kutoa maujinga yao kama ripoti ya kitaalam. Kanumba alikuwa katika tifu zito baada ya kubaini kicheche wake anajadili miadi mingine. Ili kukwepa simu yake isikwapuliwe na Kanumba, na hakika kulinda namba ya bwana ake, Lulu alifanya kila aliloweza hii ikiwa ni pamoja na kusukumana na kutwangana na vitu vizito. Huu ndio ukweli na sio ujinga walioutangaza.

Jeshi la polisi nalo liwe na uzalendo, wamezoea sana kuficha ukweli hasa wakijua kuna mkubwa anahusika. Nadhani wote mnakumbuka mauaji ya mwandishi wa dira huko Mwanza na maripoti ya hovyohovyo ya polisi.

Lulu ndio chanzo cha kifo cha Kanumba hata kama madaktari watang'ang'ana na ujinga wao wa mtikisiko wa akili. Upuuzi mtupu hapa. Na clouda nao ndio wakaileeemba utadhani hata wanajua undani wa kifo hicho, hawa nao... Mbona hamkusema kuhusu simu aliyopigiwa Lulu kabla ya ugomvi wao? Sasa taarifa zilizozagaa ni kuwa alipigiwa simu na waziri wa JK ndio maana wanajaribu kuua soo kwa kudai eti unaweza kukumbwa na mtikisiko wa ubongo halafu ukaanguka chini na kufa. Kawadanganyeni watoto wenu mataahira.

Mwisho ndugu zangu tuache ubaguzi. Kifo ni kifo hata ufie ikulu ni kifo tu. Tuwe na uzalendo.

Ni mimi,
Pangu Pakavu.

Aaaaa jamani yani ubongo utikisike wenyewe kweli jamni!? Tuache ujinga usio na kichwa wala miguu
 
Nimesoma Udadisi blog and I have come out with few observation on Lulu.

I do not hate her, but just thinking aloud:


Why the issue of tender age is emerging now???
Where were you when when was doing all those dirty things?
Do not you see that was the right moment to intervene?
Ingesaidia kuziba nyufa zilizokuwa zinatishia kuangusha ukuta.

Maji yasingemwagika.
 
asante, angalau na mimi ntahudhuria hapa...weka na nyengine basi....inauma sana!
 
kasafishwaje wakati haijasemwa huo mtikisiko kwa Kanumba umesababishwa na nini? Kuna mambo hayajawekwa wazi bado nadhani yaliyobaki ni ya kipolisi zaidi kwa upelelezi..

muwe mnafikiri ...tumieni bongo zenu kabla hazijapata
concussion nazo ....
read my other posts to get what I'm standing for
 
Marehemu Kanumba alikua balozi aliyepeperusha bendera yetu vyema,alikua kimataifa zaidi! hao uliowataja sidhani kama hata Rwanda wanajulikana! anastahili kufanyiwa hayo kwa nafasi yake!
 
ACHENI TABIA ZA FISI, huko kwetu fisi mwenye tamaa ya kupindukia anaitwa 'Nyamurure)' so wewe unaetamani tamani zinaa, take a lesson from your fellow bro. NAKUWASILISHIA 🙁
 
Amesema KANUMBA amekufa hajaacha kitu ambacho watu wasingemsahau kirahisi.. Japo kapindisha pindisha na kusema legacy ila naamini alimaanisha mtoto
 
Asante mkuu...

Mbona ma celebrity wa kike siwaoni hapo????
Au bado wako Salooon???
 
Back
Top Bottom