trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 744
Hata kama Lulu ana mimba yeye mwenyewe Lulu hawezi kujuwa hiyo mimba ni ya nani na aliipata lini!!.....kabinti ka miaka 18 a.k.a Wakubwa show ana mabwana si chini ya 20 sasa hapo atajuwa hiyo mimba ni ya nani? hivi watu hawajipendi kweli yaani mcharuko kama Lulu na bado mtu unaingia peku peku bila Condom!! is too bad.
the guy he was smart ... alijua kuna audience ambao ni watoto .. yeye kama kioo cha jamii ilibidi aongee hivo... kwamba hatumii kilevi.. even though mi najua ni kamba.. ila nilimpa bravo for that.
ha ha sio utani kwa staili hy hatutabaki hata moja wote tutakufa kwa kutikisika ubongo
Mazee huyu JB ndo bonge la msanii ninayemkubali bongo.Kama unabisha angalia movie moja Dj Ben.Sio mpenzi wa bongo movie lakini hii nimeikubali
Hapa tunaongea ukweli mtupu mkuu hakuna mwenye nia ya kumtusi Marehemu wala aliye hai.Polepole,usije kumtusi marehemu..
Habari nilizopata kutoka ndugu wa karibu wa lulu
zinasema dada etu amewaambia pamoja na kukataa kwenda kumzika kanumba
kwa taarifa yao ana mimba na wasimuulize ya nani....
Kwa walio karibu na kaka yetu embu tuelezeni kama kweli tuangalie tutamsaidiaje
tusijefurhia lulu kukaa nani kumbe tunamfunga na mtoto wetu...bado ana muda wa kueleza hali halisi
Simple observation!
Picha mbili za mwisho chini: karibu wote ni wanawake!
Cinema zake zilipendwa sana na wanawake???
Just thinking aloud
OK, tunakusikia. Unamaanisha ikiwa Lulu ana miaka 18, uhusiano wao ulianza Lulu akiwa na umri gani? Najua ukitembea na mtu yeyote chini ya miaka 18 inakuwa statutory rape. Mmmh. Labda haya hayapaswi kusemwa saa hizi ungeyafunua mapema zaidi wakati Kanumba akiwa hai au Lulu akiwa chini ya miaka 18. sasa Lulu ni mwanamke ati, mtu mzima.