Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Ukiangalia kwao maisha yalikuwa ndio hivyo ya kuunga unga so mtoto ndio ilikuwa kama mtafutaji wa kila kitu ndani ya nyumba sasa why mzazi asimpe ruhusa??
 
kuna la leo gazeti liliandika kuwa..baba mzazi wa kanumba awasili dar!
tuseme hakuna baba wadogo, baba wakubwa mpaka shibuda?
hata hivyo nilimsikia yule mzee(baba kanumba) akisema lazima kijana akazikwe shinyanga na kwa mujibu wa mila zao ingetakiwa apelekwe nyumbani kwa babu yake kwanza ndipo apelekwe makaburini maana jina la KANUMBA alirithi kutoka kwa babu yake!
 
If we have been pleased with life, we should not be displeased with death, since it comes from the hand of the same master.
 
nafikiri the only solution ili lulu angalau akubalike ni labda akutwe ana mimba
 
Hawa wadau sijawasikia kabisa huu msiba, au ndio totoro????
 
ninampango wa kuandika kitabu kinachohusu maisha yangu na kifo, coz najua ntakufa tu
 
mh hajafika! hata mimi nilimsikia akisema Kanumba akazikwe alipozikwa babu yake. Panapotokea msiba nani anakuwa na kauli ya mwisho marehemu akazikwe wapi? Jamaa hakuacha wosia akazikwe wapi, hivyo kuna jamaa wamejibebesha majukumu jamaa akazikwe wapi kwa maslahi yao wenyewe.
 
R.I.P Kanumba! rest in peace & may the Gud Lord 4give ur sins maana dunian tulikukubali xna kakubalike na huko.
Unbelievable!
 
na hapa Sugu akitoa Salaam za Mwisho kwa niaba ya WAPIGANAJI WOTE , WAHANGA WOTE WA WIZI WA SANAA, NA KWANIABA YA VIJANA WAPENDA HAKI NA SANAA

576369_244745845624028_100002658425203_470837_1239234384_n.jpg
 
kuna la leo gazeti liliandika kuwa..baba mzazi wa kanumba awasili dar!
tuseme hakuna baba wadogo, baba wakubwa mpaka shibuda?
hata hivyo nilimsikia yule mzee(baba kanumba) akisema lazima kijana akazikwe shinyanga na kwa mujibu wa mila zao ingetakiwa apelekwe nyumbani kwa babu yake kwanza ndipo apelekwe makaburini maana jina la KANUMBA alirithi kutoka kwa babu yake!
Huo msiba uliishatekwa nyara na wahaya siku nyingi so usitegemee kitu chochote cha kisukuma zaidi ya ibada ya AIC kwa kuwa kanisa hilo huzika bila kuweka masharti magumu. Mama Kanumba alitumiwa ticket ya ndege huku baba akiachwa solemba. Wahaya bana...
 
inavyoonekana ni kisiasa zaidi kwani alipozaliwa kanumba si jimbo la chama fulani
 
Back
Top Bottom