anataka aigize na vitoto vidogo vya kike ili vikianza kukua avifanyaje???
Cameraman wake kasema inaitwa "power of love" kama sikosei
Yaani unawaza kimwili kama wale wanaodhani kuwa shetani ni nyoka kama sinema ya maisha ya Yesu.
Mtu amekufa subiri siku ya ufufuo uone.
Tafakari wale ambao wamekufa katika kuzama ndani ya bahari,kuungua hadi majivu,kutafunwa na simba au mamba na wale wanaouwawa katika mapigano na kufa bila kuzikwa, je hao wamefukiwa na udongo.
Kabla hujaandika uwe unatafakari,rudi tena katika mafundisho ya kipaimara inaonekana ulicarry somo huko.
Mwisho roho itendayo dhambi ndiyo itakayokufa,na siyo mwili utendao dhambi.
My take.uzikwe usizikwe Mungu anaangalia roho yako.
Nakubaliana na wewe na mtoa mada. Tuheshimu choices za watu wengine pia, binafsi kama mtoa mada si mpenzi kabisa wa movie za kibongo, na kanumba nilikuwa namjua partially, ila alipofariki, taarifa nilipata asubuhi kwa mke wangu na watoto, na tangu muda huo mpaka muda huu, watu hawatoki kwenye luninga, kufuatilia mazishi na yote yaliyokuwa yanajili.Mwanzoni niliwauliza, whats so special to kanumba?? Lakini nikajifunza kuwa, yawezekana hakuwa special kwangu ila kwa mke wangu na watoto alikuwa special kwao, maana pamoja na elimu ya mke wangu, kanumba alikuwa na nafasi kwenye moyo wake. Nimewapa nafasi na hata TV siku mbili hizi hatunyanganyi remote, baadala ya kungalia CNN au aljazeera, nimewaacha waangalie mazishi ya Kanumba!!! tuheshimu mawazo ya wengine pia. He was Great to them!!!!!!Ndonyongijape heshima mbele!
Ulichosema chatosha kabisa. Pengine ni vema kujua kwamba wengine husumbuliwa na wivu usiokuwa na maana. Hebu fikiria Kanumba at age 28 ameweza kugusa mioyo ya watu kwa kiwango ambacho wengine wetu hapa hata mtaani hatujulikani, hatuna kipawa cha kuathiri (+ve/-ve) maisha ya watu nje ya familia zetu.
Kanumba kafanya Tz iwe juu katika filamu za kiswahili kwa ukanda wetu, kafanya kile ambacho football, riadha, ndondi, n.k havijaweza.
Hawa wanaokuja na story za Kanumba freemason, Kanumba mzinzi n.k walikuwa wapi kusema akiwa hai kama sio unafiki?
Je, kuna msafi kati yetu hata tunyooshe vidole? Tunajua alisema nini kabla hajakata roho? It takes just a minute to reconcile with God.
Hata kama sikuwa shabiki wake, the boy frm sukumaland deserved kuagwa kwa namna alivyoagwa!
Aliwazalo mjinga ndilo litakalomtokea?,Ooh, Ok inawezekana Mkuu, sikusikia jina . . . so its called "POWER OF LOVE"
And that is one of reasons he died