Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)


Akihojiwa na Elisha wa TBC1 katika News Bulletin leo usiku, kijana ambaye huwa anafanya kazi na Kanumba kutengeneza Movies anasema, katika Movie ambayo haijatoka mbali na ile ya "Ndoa yangu" aliyocheza na Jackline Wolper, mdau huyo anasema Kanumba katika Movie hiyo, ameigiza matukio yanayoshabihiana na tukio lake la kufa kwake:

1. Alikuwa na Mpenzi aliye na figo moja akaamua kumpa figo yake lakini mpenzi huyo akamsaliti kwa kuwa na mwanaume mwingine

2. Katika Movie hiyo Kanumba anaanguka na alipokufa anasaidiwa na rafiki yake ambaye ndiye aliyeambatana na mwili wa Kanumba Muhimbili na kuusitiri kwa nguo.

3. Kanumba kisha katika Movie hiyo anakufa na kufanyiwa uchunguzi na daktari ambaye ndiye kihalisia ni moja ya waliomfanyia uchunguzi.


What a coincidence?
 
Taarifa ya habari TBC 1 amehojiwa mpiga picha wa marehemu Kanumba na akaelezea movie ya mwisho iliyotengenezwa na Kanumba inaelezea kifo chake kabisa. Eti kwenye hiyo filamu kuna sehemu atagombana na mpenzi wake na atamsukuma na atadondoka atakufa halafu daktari aliyekuja kumcheck nyumbani ndio huyo huyo aliyemfanyia uchunguzi Mwimbili.

Mwimbo wake huu hapa http://hu.lk/e3fwvb356rbf

What quite a coincidence guys

Source : TBC1
 
Itakua we jamaa mgumu sana kuelewa, na wewe ndo umeropoka na kukurupuka. Mtoa mada kasema in the exception of Nyerere, sasa wewe sijui huelewi, sijui hujui kusoma frsh umeanza kuleta mambo yako.
 
Hakika mfano wa maisha ya dunia ni kama maji tuliyo yateremsha kutoka mbinguni, kisha yakachanganyika na mimea ya ardhi wanayo ila watu na wanyama. Mpaka ardhi ilipokamilika uzuri wake, na ikapambika, na wenyewe wakadhani wameisha iweza, ilifika amri yetu usiku au mchana, tukaifanya kama iliyofyekwa - kana kwamba haikuwapo jana. Namna hivi tunazipambanua Ishara zetu kwa watu wanaofikiri. Qur'an:10:24.
 
Sikuwahi kujua kama kanumba anapendwa hivyo; hata yeye mwenyewe angali amka nakuangalia watu waliomzika angekufa naugonjwa wamoyo kwamshangao, kikubwa na chakujifunza hapa ni tujifunze kumwonyesha mtu upendo siku zote na kama kweli upendo huo unatoka moyoni, na sibaada kutoweka dunian, tupendane jaman......
 
Nani kakwambia M/mungu huwa anajaribiwa?
Sasa kama ndivyo basi hilo ni fundisho kwa wasanii wote wanao act vifo"nyambafu"
 
Katika Movie hiyo kuna sehemu atagombana na mpenzi wake huyo kwa kisa cha kuwa na Mwanaume mwingine na huyo mpenzi wake atamsukuma na atadondoka na kufa.
 
Jamani kufa ni kufa tu hata uzikwe na mabilioni ya watu mbele ya haki unakuwa mwenyewe. Hatuwezi kushabikia uzinzi na ulevi eti kisa ulikuwa unajulikana sana. Kifo chake hakina tofauti. na chakina Brenda fasie na witney haustone
 


Matukio ya mwisho ya huyu Star yana maswali mengi kuliko majibu.

Movie ya Ndoa Yangu nayo ambayo haijatoka, kwa Wazee wa Zamani Ambaye hajaoa akifa, Maziko yake huwa ndiyo kama "Ndoa Yake"
 
lamsingi nikuombea mwenzetu apumzike kwa amani,pia iwe fundisho kwa baadhi ya watu kutaka umaarufu kupitia misiba ya wenzao,sidhani kama hao wageni walikuwa wanaumuhimu sana kwa marehemu kufanya asipelekwe kuzikwa kwao kisa watu ni wengi!haiingii akili ule umati umezidi wa mwl nyerere na mbona alipelekwa huko kwao butiama?hata kama wangekosa sehemu ya kukaa na kulala hawakwenda kwenye starehe!HESHIMUNI MILA NA DESTURI ZA WATU MKATAA KWAO NI MTUMWA,
 
Back
Top Bottom