Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

hivi kuzikwa maana yake ni nini?

Kama ni kuchimbiwa shimo, kuwekwa humo na kufukiwa?
Au ni pamoja na kisomo/ibada?

Kama ni swala la shimo na kufukiwa kumbe hata mbwa wetu na tunawazika?

Je wale wasiochimbia, wanachoma, je wamezika pia?

Hizi dini hizi zimewafanya binadamu wakawa hovyo kabisa!!

mkuu nashindwa kukuelewa, je, unataka kuniambia kuwa huna dini? Na kama unayo, je, kwa makusudi huku ukijua umeamua kuwa mtu wa hovyo?
 
***** yle atasema ataigiza na ramsey noah kwa ku2mia hela alizopata kwnye msiba il kumuenz marehem ,,..STUPID LITTLE RAT
 
Kwa mujibu wa mpiga picha wake wa filamu yake ya mwisho aliyokuwa akiiandaa, namna alivyofariki ndivyo alivyoigiza...aliigiza kufariki kwa kusukumwa na mkewe na daktari wake halisi ndiye aliyeigiza kumfanyia upasuaji na ndo yuleyule aliyemfanyia uchunguzi alipoanguka, na mwanamke aliyeigiza naye ndiye aliyemfunika macho muhimbili....je alijitabiria kifo chake? Kuna uhusiano wowote na ufreemasons? Source: tbc
 
Hili halina ubishi kuwa Kanumba kawafunika wasanii, macelebrety na wanasiasa wetu wote (Except Nyerere) waliotangulia mbele ya haki kwa kuzikwa na watu wengi zaidi,hii inaonyesha alikuwa anakubalika sana katika fani yake ya uburudishaji katika sanaa ya filamu.Mwenye ugomvi nae amsamehe na mwenye madeni huu ndio wakati wa kulipwa ili mwenzetu akapumzike kwa amani(kama kweli kuna mapumziko). Kilichobaki sasa ni kumuomba Mwenyezi Mungu amrehemu..Ameen

record inaisaidiaje familia yake? itasaidia kumfufua? umasaburi at work
 
uliwahi kuona alipozikwa osama bin laden?
Nani alimzika osama?
Weka picha ya mazishi yake kisha njoo ofisini kwangu chukua ticket nenda nchi yoyote iutakayo kale bata gharama zote kwangu.
 
Msiba wa Fanuel Sedekia Gospel artist wa Arusha Je?


Mi tangu awali nilishasema kamwe msiba huu hautaufikia ya Marehemu F. Sedekia kbs!
Ngoja tusubiri wenye total ya watu waliohudhuria kwenye msiba wa Marehemu Kanumba kwn ya Marehemu FS iliweka rekodi ya kutomfikia Baba wa Taifa kidogo tu!

www.fanuelsedekia

gonga kwenye mtandao wa google seach ujionee mwenyewe majibu kwa atakaye kuwa mbishi nami!
 
Jamani kuna tetesi zimeenea na zinazozidi kuenea kwa kasi, eti kuwa Lulu ana mimba ya Kanumba, na eti Kanumba alitaka Lulu akaitoe lakini Lulu akagoma. Je wadau habari hizi zina ukweli wowote?
 
Kwa wataalamu wa ndoto na mambo ya utabiri wanasema maranyingi mtu akikaribia kufa huwa kuna dalili zinamtokea au yeye mwenyewe kufanya mambo fulani bila kujua kuwa ni dalili za kifo chake. Hapa ningeomba x-pastor aje afunguke vizuri maana amebobea mambo haya hasa dalili/matendo yam2 anaekaribia kufa.
 
Hapa hatuzungumzii choices.We are talking about good and evil.Kwamba mwanadamu asiyeweza ku-distinguish between good and evil hana tofauti na mnyama.What do I mean,ni kwamba mtu anayemshabikia Kanumba simply haoni kwamba hakuwa role model katika jamii yetu,which is funny.Kanumba was evil and satanic na mtu yeyote anayemshabikia will most likely be evil.

Watu watajuaje unaowashabikia wewe are not evil and satanic?. Huwezi kulazimisha watu waamini unayoamini wewe..wewe umechagua kuamini hivo..na wengine watachagua kutoamini kama wewe unavyoamini. It is about choices..ndiyo maaana hata kwenye mahubiri ya dini unahubiriwa lakini mwisho wake ni wewe unayechagua kufuata uliyohubiriwa au kupiga chini..this itself is the power to distinguish between what u've termed as 'good and evil'.
 
Jamani kuna tetesi zimeenea na zinazozidi kuenea kwa kasi, eti kuwa Lulu ana mimba ya Kanumba, na eti Kanumba alitaka Lulu akaitoe lakini Lulu akagoma. Je wadau habari hizi zina ukweli wowote?

Hilo la kuwa na mimba hata mimi nimelisikia, na mimba yake hiyo ilimpa matatizo makubwa baada ya kunywa pombe kali katika sherehe ya Bongo Movies kutimiza mwaka mmoja. Hali yake ilikuwa mbaya, lakini baadaye akapata nafuu, ila hilo la kung'ang'aniwa kutoa mimba ndio kwanza nalisikia kwako
 
Back
Top Bottom