Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Tumesema mengi juu ya Kanumba,kuna ambayo yatasaidia kutuelimisha.
Lakini sasa imebaki historia tuu.......Kanumba hayupo tena.
Mm nina yangu yamenigusa,kwanza natoa pole kwa wafiwa wote.
Baada ya pole sasa ngoja nifunguke.
Ktk ukiristo kuna kifungu kinasema"ulitoka kwa udongo utarudi kwa udongo"kwa uelewa wangu ni kwamba tuliumbwa kwa udongo na tutarudi udongoni.
Kwa kutumia kifungu hicho basi mwenyezi mungu atawahukumu wote waliomjengea kanumba "hekalu"la kumzikia badala ya kaburi.Sasa kwa mjengo huo yeye atarudi kwa udongo lini?Hamuoni kama atasubili miaka mingi sana kurudi udongoni?
Na huyo sijui padri hakuliona hili?au yeye kifungu hiki hakijui?
Nasisitiza kwamba hayati KANUMBA hakutendewa haki kabisaaaaa!
Naomba kuwakilisha.
RIP KANUMBA.
Hamia Airtel ! Huku sisi hatufanyii maiti maonyesho, utavikwa sanda badala ya suti na viatu na saa, hakuna tofauti ya tajiri na masikini, hakuna vigae wala marumaru na utazikwa na wanaume tu !
 
kesho atakuja mwingine aseme kwanini kanumba kazikwa na suti nyeusi badala ya nyeupe,
 
Comrade Umetisha wewe ni kichwa,
alieponda akisoma hapa atawaomba radhi wote walioshiriki msiba hapo dar na sie pia ambao ear phones hazikubanduka masikioni mwetu kusikiliza kinachoendelea huko dar,kama yeye hapendi sisi tunapenda atuache kama sie tulivyomuacha
 
Hamia Airtel ! Huku sisi hatufanyii maiti maonyesho, utavikwa sanda badala ya suti na viatu na saa, hakuna tofauti ya tajiri na masikini, hakuna vigae wala marumaru na utazikwa na wanaume tu !
Ngoja ntaamia mkuu!
 
Hamia Airtel ! Huku sisi hatufanyii maiti maonyesho, utavikwa sanda badala ya suti na viatu na saa, hakuna tofauti ya tajiri na masikini, hakuna vigae wala marumaru na utazikwa na wanaume tu !

kwasababu wanawake sio watu au?
Au wanawake sehemu yao ni jikoni?
 
Lakini na story behind ya kifo chake imedraw attention hence umati mkubwa hivyo. Angeugua hata kwa week moja nadhani isingekuwa hivi.

Mwanzo na mimi nilizani hivyo lakini sivyo angalia Nyerere aliugua lakini bado kifo chake kiliuma wengi! ni suala la upako wa kukubalika tu! halafu yes kavunja record kamfuata Nyerere huwezi ukamfananisha Nyere na kanumba kwamba Nyerere alikuja mpaka sijui nani wa marekani! ni nafasi yake na aliongoza kwa miaka mingi na kanumba hajavunja record yake!LAKINI kanumba kazikwa kwa umati mkubwa kumfuatia Nyerere!
 
Hamia Airtel ! Huku sisi hatufanyii maiti maonyesho, utavikwa sanda badala ya suti na viatu na saa, hakuna tofauti ya tajiri na masikini, hakuna vigae wala marumaru na utazikwa na wanaume tu !

hivi kuzikwa maana yake ni nini?

Kama ni kuchimbiwa shimo, kuwekwa humo na kufukiwa?
Au ni pamoja na kisomo/ibada?

Kama ni swala la shimo na kufukiwa kumbe hata mbwa wetu na tunawazika?

Je wale wasiochimbia, wanachoma, je wamezika pia?

Hizi dini hizi zimewafanya binadamu wakawa hovyo kabisa!!
 
Naangalia STAR TV kuna watu wametoka mikoani kuja kumuaga Kanumba. Amazing
 
Hapa hatuzungumzii choices.We are talking about good and evil.Kwamba mwanadamu asiyeweza ku-distinguish between good and evil hana tofauti na mnyama.What do I mean,ni kwamba mtu anayemshabikia Kanumba simply haoni kwamba hakuwa role model katika jamii yetu,which is funny.Kanumba was evil and satanic na mtu yeyote anayemshabikia will most likely be evil.
Kwanza kabisa naomba ku-declare interest..mimi siyo mpenzi wa Bongo Movies ila natambua kwamba Bongo movies imeshika katika vichwa vya watanzania wengi ambao kwa asilimia kubwa hawawezi kuangalia even Nigerian (tupa kule american) na wakaelewa..natambua kuwa kuna watu ambao haziwezi kupita walau siku mbili bila kuangalia hizi movie za nyumbani kwetu. Watu hawa wapo wengi kuliko unavyoweza kufikiri na ni kama ilivyo kwangu isivyowezekana kupita siku mbili bila kusoma kitabu chochote au kufuatilia politics!. Lengo la kusema haya awali ni kutaka kuonesha kwamba kama binadamu..kuna wanaopenda vitu fulani fulani il-hali vitu hivyo hivyo wengine hawataki kusikia..ndio maana kuna watu humu JF huwaambii kitu kwa CHADEMA,CCM or even CUF.Ndiyo maana vidole kwenye mikono,miguu ni vitano lakini havilingani..vikilingana.... you can imagine the situation!

Back to the topic, suala hili ambalo limeenea kwa 'the so called' wanaoweza kufikiri na kupambanua i.e great thinkers kwamba watu waliojitokeza kuhudhuria msiba wa Steve Kanumba (R.I.P) ni wajinga,punguani ambao hawana kazi za kufanya limenisikitisha sana.

Nataka kuwarudisha nyuma si chini ya miaka miwili iliyopita ya kifo kilichotokea cha Mtu Mweusi mwenye mbwembwe nyingi..Michael Jackson a.k.a Wacko Jacko. Wamarekani walilala nje ya Mjengo wa Wacko Jacko,ulaya,asia watu walikusanyika open spaces kote huko.. Watu walifunga barabara za mitaa mbali mbali marekani kwa ajili ya kuomboleza..CNN, BBC,Al-Jazeera etc etc walikatisha program zote za Ki-uchumi,kisiasa etc etc ili kucover tukio la kifo cha Wacko Jacko..Tena siyo kwa siku moja..ni kama wiki 2 mfululizo na zaidi na zaidi..! Ndugu zangu akina Masanilo and co., niwaulize hivi hawa hawataki maendeleo ya ki-uchumi?? Wao hawakuwa na kazi za kufanya?.

Je Nyerere alivyokufa watu wakajitokeza barabarani, shughuli za kiuchumi etc etc zikasimama, watu hawakuwa na kazi za kufanya?. Wanasiasa wanapokuwa mahali na kukusanya Lundo la watu (tumeona Zitto kirumba, Mbowe & co Arusha, Barack Obama alipoenda Ujerumani etc etc) wale wahudhuriaji wanakuwa hawana la kufanya?. Tofauti ya matukio haya ni kwamba moja ni msiba jingine ni politics..lakini uhudhuriaji waweza kushabihiana.

Guys, Funguka...usidhani kila unachokifikiri wewe ndio kila mtu afanye..! Kanumba was a celebrity, hata baadhi ya watu hapa wakifa na ikajulikana given the fact kwamba wao ndani ya JF ni Celebrities (I cant mention names,but I know even these guys amongst them ar celebrities within JF)..Quote my words,asilimia kubwa za Post zitawaongelea wa0, mara oh, tutengeneze t-shirt,tujitokeze msibani kwa wingi, alikuwa mtu mzuri etc etc!

Cha msingi ni kutambua kila mmoja ana uhuru wa kufanya yale anayotaka kuyafanya kwa muda wake yeye mwenyewe kadiri anavyoona inafaa. Ndio maana mimi hata sijaangalia wala kufuatilia popote hiyo Live coverage zaidi ya kuingia JF jioni hii na kupata news..it is enough for me! Lakini kuna watu leo ofisini, kwenye biashara zao, kwenye mashamba yao etc etc kulikuwa hakukaliki wakitaka kufuatilia Kanumba anazikwaje kwa kuhudhuria wao wenyewe,kupitia radio,TV au hata internet.

Everything is about Choices, and we must not envy others choices or even mock their choices because definitely they will mock ours, it is simple..they are not theirs. He was great to them, they chose him to be like that, it is not for you, you chose otherwise ..dont mock their choices!

Alamsyk.
 
You have the point.......lakini hapa ulipaswa useme baada ya kuzitafuna pesa za rambirambi ndiyo watajuwa Baba ni nani na Mungu asimami upande wa Dhuluma hata kidogo, ila hawa wasivyo na aibu usikute hata ile Land cruiser Amazon ya Kanumba ipo nyumbani kwa Mtitu hawa watu ni wabaya mno.

Mimi kama Baba nafahamu vyema nafasi ya baba kwa mtoto na nina sacrifice vingapi kwa ajili ya mtoto awe na future nzuri, then in future days aje kutekwa na marafiki!! something is very serious here.

una huakika baba yake alijisicrifice kwa ajili yake au unajitia kujua..
 
kwasababu wanawake sio watu au?
Au wanawake sehemu yao ni jikoni?

maswali kama hayo huwezi kupata majibu sahihi, labda ukiulizwa mwanaume kwanini havai sketi utasema kwasababu sio mtu?
 
hivi kuzikwa maana yake ni nini?

Kama ni kuchimbiwa shimo, kuwekwa humo na kufukiwa?
Au ni pamoja na kisomo/ibada?

Kama ni swala la shimo na kufukiwa kumbe hata mbwa wetu na tunawazika?

Je wale wasiochimbia, wanachoma, je wamezika pia?

Hizi dini hizi zimewafanya binadamu wakawa hovyo kabisa!!
Muonee aibu aliyekuumba na akatuwekea misingi bora ya maisha zikiwemo dini,so kama unaona hizi dini zimewafanya wanadamu kua hovyo basi mwisho wako utakua mbaya sana!
Ebu mrudie mungu wako mkuu!
 
Back
Top Bottom