BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
too much of something is harmful.......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nachukia sana watu ambao kila kitu wanahusisha na siasa.TBC 1 wamekatiza matangazo baada ya John Shibuda kuonekana Live! Hahahaha siasa mchezo mchafu sana!
anataka aigize na vitoto vidogo vya kike ili vikianza kukua avifanyaje???
hatungependa kusikia ray anahusishwa na mauaji ya "the great"
mimi nashangaa zaidi kuona mdogo wa kanumba mpaka leo hajatiwa nguvuni kuisadia polisi kwa kuwa yeye na hako kalulu ndie wanaweza kutusaida zaidi kwa kuwa walikuwepo eneo la tukioNashangaa Lulu yuko ndani Ray nje daah!
Mkuu sijakuuliza kuhusu Askofu wa Moshi, ninakuuliza umeshawahi kuliona kaburi la Papa Yohane?Sure kaburi lake lilisakafiwa hadi chini hakuna hata matundu ya mchanga/udongo kama ilivyaoachwa kwa marehemu Kanumba. Hata marehemu askofu Joseph Sipendi wa Jimbo la Moshi kaburi lake likisakafiwa top down hakuna udongo.