Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Nakaribia kutafsiri biblia kisayansi, na andiko hili litatafsirika kama " from the second law of thermodynamics you will come, and in due entropy, the second law of thermodynamics shall take you back"
 
Donyongijape, nielekeze nyumbani kwako nifanye mpango wa kukuibia. Maana nadhani ni haki kwa mtazamo wangu!
 
Kanumba ni msanii tu lakin ndo ville papa.
 
Nashangaa Lulu yuko ndani Ray nje daah!
mimi nashangaa zaidi kuona mdogo wa kanumba mpaka leo hajatiwa nguvuni kuisadia polisi kwa kuwa yeye na hako kalulu ndie wanaweza kutusaida zaidi kwa kuwa walikuwepo eneo la tukio
 
Sure kaburi lake lilisakafiwa hadi chini hakuna hata matundu ya mchanga/udongo kama ilivyaoachwa kwa marehemu Kanumba. Hata marehemu askofu Joseph Sipendi wa Jimbo la Moshi kaburi lake likisakafiwa top down hakuna udongo.
Mkuu sijakuuliza kuhusu Askofu wa Moshi, ninakuuliza umeshawahi kuliona kaburi la Papa Yohane?
 
Ray bado mtoto sana kwa kanumba na amesafiria nyota ya mwenzake kwa muda mrefu,na sasa imefika tamati,anaebisha asubiri!
 
Back
Top Bottom