SALOK
JF-Expert Member
- Sep 20, 2011
- 3,364
- 2,001
hivi kuzikwa maana yake ni nini?
Kama ni kuchimbiwa shimo, kuwekwa humo na kufukiwa?
Au ni pamoja na kisomo/ibada?
Kama ni swala la shimo na kufukiwa kumbe hata mbwa wetu na tunawazika?
Je wale wasiochimbia, wanachoma, je wamezika pia?
Hizi dini hizi zimewafanya binadamu wakawa hovyo kabisa!!
mkuu nashindwa kukuelewa, je, unataka kuniambia kuwa huna dini? Na kama unayo, je, kwa makusudi huku ukijua umeamua kuwa mtu wa hovyo?