Allien
JF-Expert Member
- Jul 6, 2008
- 5,546
- 1,861
Akihojiwa na Elisha wa TBC1 katika News Bulletin leo usiku, kijana ambaye huwa anafanya kazi na Kanumba kutengeneza Movies anasema, katika Movie ambayo haijatoka mbali na ile ya "Ndoa yangu" aliyocheza na Jackline Wolper, mdau huyo anasema Kanumba katika Movie hiyo, ameigiza matukio yanayoshabihiana na tukio lake la kufa kwake:
1. Alikuwa na Mpenzi aliye na figo moja akaamua kumpa figo yake lakini mpenzi huyo akamsaliti kwa kuwa na mwanaume mwingine
2. Katika Movie hiyo Kanumba anaanguka na alipokufa anasaidiwa na rafiki yake ambaye ndiye aliyeambatana na mwili wa Kanumba Muhimbili na kuusitiri kwa nguo.
3. Kanumba kisha katika Movie hiyo anakufa na kufanyiwa uchunguzi na daktari ambaye ndiye kihalisia ni moja ya waliomfanyia uchunguzi.
What a coincidence?