Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,647
eeeh kweli nimeamini tunaochangia jf ipoteze hadhi ni wengi tu na wengine huwezi kuwadhania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saa chache sana baada ya mazishi ya msanii maarufu Steven Kanumba kufanyika, huku mamilioni ya Watanzania wakiwa bado hawaamini kilichojiri, mama mzazi wa binti Elizabeth Michael, maarufu kama Lulu, anayetuhumiwa kuwa mhusika namba moja katika kifo cha msanii huyo, amefunguka kwa mara ya kwanza!
mama Lulu afunguka rasmi - YouTube
We hujaona?Sasa cha ajabu hapo ni kipi?
Eh mungu tenda muujiza,
Mama ya Kanumba akamsamehe Lulu!
R.I.P Kanumba
Akiachiwa lulu,tutaandamana!!
Huyu dingi noma kweli na ana roho yake, tena mambo ya kugombea maiti. Udongo ni ule ule wa dar or wherever
Mawakili hawahitaji kucheza na sheria. Atanufaika na msamaa wa Rais!Ila huyu dogo akienda jela na akija kutoka ana opportunity ya kumake a very great Movie Star,Akitengeneza muvi yake ya kwanza itauza sana.Kwa sasa Public perception yake ni mbaya.Ni bora kwake aende jela kwa muda kama wa miaka 3 then atoke.Here Mawakili wanahitajika kucheza kweli na sheria,Pia huruma na discretion ya jaji itasaidia.