Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

am quite sure the little girl is going to walk free! i see nothing which can implicate her with this controversial death of SK!
 
Ndugu,

Pole kwa wazazi wa pande zote mbili (Kanumba & Lulu). Nadhani mama yake Kanumba atamsamehe LuLu kwasababu yaliyotokea yameishatokea. Kwa sasa (mpaka sasa) Lulu HANA kosa mpka pale Mahakama itakapo dhibitisha alitenda kosa aidha kwa makusudi au pasipo kujua.

Kwa kuangalia taarifa zilizopo, wote (Kanumba na Lulu) wana makosa na si jambo jema kumuhukumu Lulu kwa lolote mpaka baadae. Watanzania tumuombee Kanumba ili roho yake ilazwe panapostahili wakati huo huo tumuombee Lulu aachiwe huru ili akalijenge taifa lake.

Naamini wanasheria wenye busara watafanya kazi yao ipasavyo.

Mimi nimekwisha muhukumu Lulu kwamba HANA kosa
 
Uandamane huna kazi au kazi uliyonayo kupost tu comment ambazo hazina mwelekeo hapa JF???
 
Kwa kweli hata mimi sijui polisi huwa wanafanyaje chunguzi zao hasa zile za homicide kama hii. Nilikuwa nadhani kuwa the crime scene must be controlled and protected. Lakini inaonkena kama tokea mwanzo kabisa mziba ulikuwa on the scene of crime.

Kwenye suala la kutoa habari kwenye media ndio kabisaaa. Hata wale waliokuwa authorised kutoa habari wanajichanganya. Halafu kuna hawa wanaotoa habari kwenye vyombo vya habari huku wanajua wazi kuwa hawana mamlaka ya kufanya hivyo. Sana sana wanaharibu hata uchunguzi wenyewe.

Polisi wanatakiwa wawe na plans za ku-deal na media during criminal investigations of high profile cases kama hii. Ku-relase appropriate information to the media is critical, otherwise, (and even if) the members of the media may seek out evidence and witnesses on their own. Sidhani kitendo cha ku-reveal that the suspect declined to be interview mpaka alivyoletewa psychologist was a right thing to do.

.

Kaka usidanganyike na kina Kanyela kuongea kwenye TV, kwa Tanzania wala hakuna uchunguzi wa maana kama unavyofikiria.Yaani hiyo fani imejaa wababaishaji tu.

Kama marambili tuliibiwa ofisini kwetu tukaita wataalamu kutoka polisi kwa gharama ya ofisi.Kufika wakadai wanachukua fingerprints, ni miaka mitatu mpaka leo hatujapewa majibu ukiuliza wameshasahau hata kama walikuja.

Yaani ni ubabaishaji tu.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Hivi we ushuzi unawajuwa watu hawa?
1. Sheikh Suleiman Takadir
2. Komredi Mshume Kiate
3. Komredi Aziz Ally.
4. Nguli Dossa Aziz
5. Paul Rupia
6. Mark Bomani
7. Kamanda inchief Abdulwahed Sykes na wengine wengi?

usije tena kutoa maombi eti tumuwekee Mnara Kanumba ile hali hao niliokutajia wamelitendea makubwa taifa hili kuliko huyo mtu wako.

So kama huna cha kuandika kachukue kopo ukachambe.


Mkuu, kanumba (RIP) alikukosea nini???
 
Lakini hii ni funzo kubwa sana kwa wa baba ambao wametupa watoto kisa vimada. Kwakweli naona kanumba alifanya cha maana Sana kumsema baba yake vile hope wanaume watabadilika maana aliturepresent wengi. Najua kuna swali la kuheshimu wazazi lakini Kama huyo mzazi ni shetani inakuwaje?
 
Unadoubt nini? Unahakika gani kwamba hajafurahishwa na maziko ya mtoto wake kutekwa na vyombo vya habari pamoja na CCM? Unauhakika gani kwamba mila na desturi za maziko kwa mujibu wa wasukuma hazijazingatiwa? What relation is there between the dead and the living?

mna kazi kweli asee!mnayoyajua mseme ,msiyajua nayo mseme tuwaeleweje nyie binadamu?
 
siamini kama kupewa vyombo uoshe na kuambiwa uchunge mbuzi kama ni mateso, mf mie nimelelewa na wazazi wangu wote wawili, lakini tulikuwa tunaenda kuchunga ng'ombe, tulikuwa tunapika na kukata majania ya ng'ombe wakati wa mvua. Na vyombo tuliosha sana....sa sijui na mie niibuke niwanmbie wazazi kuwa walikuwa wananitesa?

VLADIMIR
katika hali ya kawaida, mzazi wako hata akikushikia panga atake kukukata kamwe hutaweza kwenda kusema ama kutangaza kwa watu. The same kwa Mzazi, hata akishikiwa Panga na Mwanae wala hatokwenda kutangaza kwa watu.
Ila mambo huwa tofauti kama mzazi wa mwenzako ama mtoto wa mwenzako atakapokushikia panga.
NATUMAI UMENIELEWA!!!
 
So far katika hii kesi me naona hao police na wapelelezi they don't know what they are doin so far kwa mtizamo wako,nadhani final day kwa sababu hawajui nini wanafanya huyu dogo atakuja kuachiliwa free of charge na hapewi hukumu yoyote kwanza kabisa kesi haitakuwa nzito maana huko chumbani alikuwa yeye na kanumba tu hamna mtu mwingine aliyekuwepo.
 
siamini kama kupewa vyombo uoshe na kuambiwa uchunge mbuzi kama ni mateso, mf mie nimelelewa na wazazi wangu wote wawili, lakini tulikuwa tunaenda kuchunga ng'ombe, tulikuwa tunapika na kukata majania ya ng'ombe wakati wa mvua. Na vyombo tuliosha sana....sa sijui na mie niibuke niwanmbie wazazi kuwa walikuwa wananitesa?
shukuru Mungu umelelewa na wazazi wako kabisa bt knw dt wazazi wengine wanatesa sana watoto wao hasa km hawajawazaa na bora ampe mtoto kazi bt smtm anamnyima hadi chakula do u thnk huyu mtoto atasahau? HATA KANUMBA may b alipata mateso mengi zaidi ya kazi..dont judge.
 
Jamani huyo baba alimsusa mwanae toka yuko sekondari mpaka mama yake ndio akawa anahangaika nae kumtafutia wa kumpa ada na ninamfaham mtu aliyekuja kumkabidhi kanumba ili amsomeshe sasa kwanini apewe thamani saizi wakati wa uzima hakumjali

hivi mi nashangaa sana watu wanavyomtupia lawama kamumba. Baba akunyanyase na asikujali wala kujishughulisha na wewe toka utoto, leo umekua na mafanikio ndio anajitia eti ni mzazi wako! Uzaza ni zaidi ya kumwaga mbegu na kutungishaa mimba jamani. Kanumba alikua na haki ya kueleza hisia zake! Yeye baba nae alitakiwa kujua kuwa mwanae ana machungu ya aliyomtendea na kama ana akili sawa angetafuta ku -make peace na mwanae! Kama SK hakuongea vizuri mni kwasababu ya uchungu. Leo amekufa eti ndio akazikwe kwao ambapo wakati wa uhai wake wala siajabu hakwenda! It doesnt make sense. Wapi imeandikwa kuwa ni lazima mtu akazikwe kwao? Wengine eti hakutumiwa nauli! Ivi mwanao amekufa unasubiri utumiwe nauli ndio uende kumzika na usipotumiwa huendi? Huo si upuuzi wa highest degreee? Angekuwa na mapenzi na mwanae angekuja kumzika hata kama they were not in gud terms. Kwani akisusa kuja kwenye mazishi ndio atasaidia nini? Wazee wengine bwana! Anataka anyenyekewe kwa lipi? Irresponsible father!
 
Tukiwa tunaendelea kuomboleza kifo cha mpendwa wetu,msanii kanumba,tutafakari maisha yake.Kanumba hakuwa tofauti sana na wasanii wetu walio wengi kimaadili.ni kweli alituburudisha,lakini hakutufuza maadili mema.

Alikuwa mfano mbaya kwa vijana kwani alifanya ngono na wasichana warembo kwa kuwahonga kuonekana kwenye runinga wakati wa kuigiza.

Alikuwa mkoloni kwa akina dada hawa.kuna msemo wa kifalsafa:WHAT COMES AROUND GOES AROUND.Kanumba amekufa kutokana na mazingira ya matendo yake yasiyofaa katika jamii. TAKE CARE!

nakuunga mkono kwa 100%,umesema kweli
 
.......waheshimu baba yako na mama yako,siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na Bwana Mungu wako.........,na hii ndio amri pekee yenye ahadi,upate heri na siku zenye kufanikiwa katika dunia hii.Amri hii haijabagua tabia za wazazi,wanaweza kuwa wacha Mungu au sio wacha Mungu,walez au sio walevi,wazinzi nk,bado tunapaswa kuwaheshimu ili tuishi maisha marefu,kwahiyo tukiacha kuwaheshimu na hata kuwasema vibaya hata kama walitenda kweli mambo mabaya dhidi yetu, hatutakwepa laana,yaan ule ulinzi na lile wingu juu yetu la wazazi wetu linaondoka ghafla roho ya mauti inaanza kukuwinda ghafla.tafakari
 
Back
Top Bottom