Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

kwanza fanya utafiti wa kuifahamu FREEMASON,sio kuanza kubwatuka......
 
huu wehu sijui utaisha lini?
Freemasons freemasons, wengine washaanza kudai tarehe aliyokufa ya kifreemasons sijui nini?
Kwani kuna tarehe maalum ambazo mtu inabdi afe?
Wengine nimesikia wakidai eti kuna dada flani alisema aliwahi waona kanumba na watu wengne saba wakiingia hotelin wakisali kwenye chumba flani uchi.
Kwanza freemasons hawasali uchi kama inavyodaiwa wana nguo zao maalum wanazovaa kwenye ibada zao huku wakiwa wamejifunga kitambaa maalumu kinachodunika maeneo ya zip za masuruali yao.
Pili kama walikuwa wanasali uchi yeye alijuaje wakati anadai walikuwa wamejifungia ndani ya chumba.
Acheni mambo ya kufikirika
 
Nadhani ni jinsi shetani anavyotaka kujitukuza na kuonekana yeye ni balaa kupitia hiyo inayoitwa Freemason. Siku za Kanumba kuishi duniani zilishakwisha na angekufa tu hata iwaje. Jitihaha za mwanadamu hazizidi kudra ya Muumbaji dunia na vilivyomo.
 
sasa hata kama ni kweli alikuwa ni FREEMANSON ....then what??!! maana kashakufa na kuzikwa!! halafu umesema "inasemekana..." nani kasema hayo?? au wewe ndo unasema?! mi simtetei Kanumba kwamba hakuwa Freemanson au kukubali maana what is the point?? ikiwa alikuwa au hakuwa its up to him meen!!what matters is you...what you believe in!!? isijekuwa unamsema mwenzio afu kumbe wewe mwenyewe hujui hata uendako baada ya kifo chako!! Tengeneza njia yako na ya nyumba yako kwanza hukumu ni kwa Mungu mkuu....iish!!
 
huu wehu sijui utaisha lini?
Freemasons freemasons, wengine washaanza kudai tarehe aliyokufa ya kifreemasons sijui nini?
Kwani kuna tarehe maalum ambazo mtu inabdi afe?
Wengine nimesikia wakidai eti kuna dada flani alisema aliwahi waona kanumba na watu wengne saba wakiingia hotelin wakisali kwenye chumba flani uchi.
Kwanza freemasons hawasali uchi kama inavyodaiwa wana nguo zao maalum wanazovaa kwenye ibada zao huku wakiwa wamejifunga kitambaa maalumu kinachodunika maeneo ya zip za masuruali yao.
Pili kama walikuwa wanasali uchi yeye alijuaje wakati anadai walikuwa wamejifungia ndani ya chumba.
Acheni mambo ya kufikirika
wewe ni muumini wa Freemanson? Umejuaje kwamba wana nguo maalumu na wana kitambaa wanajifunika usawa wa zip? Hebu tuambie vizuri ni nini unachokifahamu wewe kuhusu Freemanson, maana naona unatumia nguvu nyingi sana kukanusha juu ya Kanumba kuuawa na Freemanson, labda wewe kuna unachokijua zaidi ya hayo.
 
Kwa vile mtoa mada umesema kuwa ni Jamii ya Siri na mambo yao ni ya siri, wanaojua ni haohao waliomo humo (kama ni kweli) na hawaruhusiwi kutoa 'siri', so acha yabaki hivyohivyo (SIRI)...After all, Steve K keshakufa na kuzikwa, hata tukijua, it won't help....Maisha yaendelee
 
Binafsi,siwezi pinga ktk ilo,ingawa camin sana ktk ilo pia.BT kwa wachangiaji WENZANGU hapo juu,naomba waelewe Sayari hii ni zaidi waijuavyo.Inawezekana wako shallow,ktk hadithi izo na upuuzi huo.Jifanye wapitaji ktk thread hii.Lisemwalo lipo na inawezekana ni kweli kabisa kutokana na mazingra tata ya kfo cha mareh.
 
huu wehu sijui utaisha lini?
Freemasons freemasons, wengine washaanza kudai tarehe aliyokufa ya kifreemasons sijui nini?
Kwani kuna tarehe maalum ambazo mtu inabdi afe?
Wengine nimesikia wakidai eti kuna dada flani alisema aliwahi waona kanumba na watu wengne saba wakiingia hotelin wakisali kwenye chumba flani uchi.
Kwanza freemasons hawasali uchi kama inavyodaiwa wana nguo zao maalum wanazovaa kwenye ibada zao huku wakiwa wamejifunga kitambaa maalumu kinachodunika maeneo ya zip za masuruali yao.
Pili kama walikuwa wanasali uchi yeye alijuaje wakati anadai walikuwa wamejifungia ndani ya chumba.
Acheni mambo ya kufikirika

Na wewe ni FREEMASON ama? Maana umejuaje jinsi wanavyovaa na jinsi wanavyosali kama si mmoja wao?
 
Hivi kwani hatujui kwamba Mungu wetu aliyetuumba ndie mwenye uwezo wa kutoa na kutwaa maisha yetu??
 
wewe ni muumini wa Freemanson? Umejuaje kwamba wana nguo maalumu na wana kitambaa wanajifunika usawa wa zip? Hebu tuambie vizuri ni nini unachokifahamu wewe kuhusu Freemanson, maana naona unatumia nguvu nyingi sana kukanusha juu ya Kanumba kuuawa na Freemanson, labda wewe kuna unachokijua zaidi ya hayo.
maswali mengine ya Kijinga Freemason habari zake ukitaka kujua unaweza kufatiya zipo wazi sana,
 
nawaomba clouds wamtafute lulu aingize vocal hiyo hapo juu
 
wewe ni muumini wa Freemanson? Umejuaje kwamba wana nguo maalumu na wana kitambaa wanajifunika usawa wa zip? Hebu tuambie vizuri ni nini unachokifahamu wewe kuhusu Freemanson, maana naona unatumia nguvu nyingi sana kukanusha juu ya Kanumba kuuawa na Freemanson, labda wewe kuna unachokijua zaidi ya hayo.

Hata niki kwambia kama mimi ni freemasons au sio itakusaidia nini sasa
 
huu wehu sijui utaisha lini?
Freemasons freemasons, wengine washaanza kudai tarehe aliyokufa ya kifreemasons sijui nini?
Kwani kuna tarehe maalum ambazo mtu inabdi afe?
Wengine nimesikia wakidai eti kuna dada flani alisema aliwahi waona kanumba na watu wengne saba wakiingia hotelin wakisali kwenye chumba flani uchi.
Kwanza freemasons hawasali uchi kama inavyodaiwa wana nguo zao maalum wanazovaa kwenye ibada zao huku wakiwa wamejifunga kitambaa maalumu kinachodunika maeneo ya zip za masuruali yao.
Pili kama walikuwa wanasali uchi yeye alijuaje wakati anadai walikuwa wamejifungia ndani ya chumba.
Acheni mambo ya kufikirika
Na wewe ulijuaje hayo ya kujifunga vitambaa maalum na nguo maalum,je ni mmoja wao?
 
Back
Top Bottom