Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,974
Nadhani kwa kuwa matukio yote yalitokea weekend... Lakini pia polisi hawajajipanga, hata leo wamefanya hivyo kuogopa kunyooshewa vidole kwa ukiukwaji wa haki za binadamu. Kiuhalali ilitakiwa afikishwa jana.Sasa mbona Lulu ameshikiliwa kwa muda mrefu zaidi?
Au walisubiri Kanumba azikwe kwanza?
But mtoto ana defense nzuri tu ya kushinda hii kesi, haijalishi katembea na midume mingapi na yenye umri na maumbile gani, bado ni underage and minority kwa Kanumba, wakili wake lazima atashikilia hapo tu.