elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
Na wewe ulijuaje hayo ya kujifunga vitambaa maalum na nguo maalum,je ni mmoja wao?
Najua kwasababu nataka kujua na najishugulisha kujua, hawa freemasons wapo kitambo sana sema watu wameanza wajua miaka ya karibuni na wanajifanya wanawajua sana kutoka story za mitaani,
Mimi nimeanza fuatilia na kusoma habari za freemasons toka mwaka 1999.
Achan kusoma habari za magazeti ya udaku tafta habari zao kama kweli unapenda utajua.
Usiniulize kama mimi ni mwanachama au si mwanachama coz haitakusaidia kitu kwa kujua hilo