Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

eeeh kweli nimeamini tunaochangia jf ipoteze hadhi ni wengi tu na wengine huwezi kuwadhania.
 

Hapo kwenye RED mimi sio miongoni mwa hao Watanzania uliowajumuisha hapo. Nadhani ni Lulu ndio hawezi kuamini kilichojiri.
 
Najua wengi mtabisha na kuponda huu uzi lakini kwa baadhi ya wamama na mabinti, pamoja na kupenda kazi na kipaji cha Hayati Kanumba, wengi walikua wanamtamani kimapenzi. [nilifanya survey kwa wanawake 17 tofauti wengi wakiwa mabinti wa vyuo] na walikiri kwa vinywa vyao kumtamani Hayati SK.
 
Samahani wakuu out of topic, hivi ile nyumba aliyokuwa anaishi Kanumba pale Sinza ni ya kwake au ya kupanga? na lile Land Cruiser Amazon liko kwa nani mpaka dakika hii? na je ni nani alikuwa wakili wa Kanumba?

Nadhani sasa kwa sababu Kanumba hakuwahi kupata mtoto wa kurithi nadhani Mama yake angalau aambulie faida ya kuzaa.
Kuna Matapeli muda si mrefu watajifanya kuanzisha Foundation ya Kanumba ili waweze kula jasho la Marehemu, kama mlikuwa mnampenda Kanumba anzeni kufuatilia hayo niliyoyauliza na hasa Mwanasheria wake.
 
afurahi sasa pengine ndicho alichokitaka,
je Mungu atakuwa haoni hata yakawa yote yale.
Rei hapana, mimi binafsi sikupendi kabisa.
 
Acha hizo!We uzinzi ufanyi?Yule mtoto hana hatia hata kdg ila sio mbaya kushikiliwa coz alikuwa na huyo marehemu dakika za mwisho!Vinginevyo Kanumba ashitakiwe km unaona sheria inatakiwa kufanya kazi!Wabongo kwa kushadadia ya wenzenu na yenu mmetia kwapani hamjambo!
 
Ah ah ah! Sanam eti kwa lipi la heshima? kuna mtu kuwa na heshima ilo tukuka na star tuuu kwa jamii,,,, Koma kumlinganisha na baba wa taifa! Kanumba was just a star wa kaida na kila mtaa utakuta CD zake kwanini watu wasimjue?
 
Eh mungu tenda muujiza,
Mama ya Kanumba akamsamehe Lulu!

R.I.P Kanumba

Ndugu,

Pole kwa wazazi wa pande zote mbili (Kanumba & Lulu). Nadhani mama yake Kanumba atamsamehe LuLu kwasababu yaliyotokea yameishatokea. Kwa sasa (mpaka sasa) Lulu HANA kosa mpka pale Mahakama itakapo dhibitisha alitenda kosa aidha kwa makusudi au pasipo kujua.

Kwa kuangalia taarifa zilizopo, wote (Kanumba na Lulu) wana makosa na si jambo jema kumuhukumu Lulu kwa lolote mpaka baadae. Watanzania tumuombee Kanumba ili roho yake ilazwe panapostahili wakati huo huo tumuombee Lulu aachiwe huru ili akalijenge taifa lake.

Naamini wanasheria wenye busara watafanya kazi yao ipasavyo.
 
Akiachiwa lulu,tutaandamana!!

teh angalia mkuu ucjikute unaandamana peke yako,.bytheway kama Lulu anakosa,K nae anakosa pia!bt ad apo cjaona kosa lake,wote wazinz wa ijumaa kuu,bt ol n ol ukwel ipo cku utajulikana..n i wsh Lulu the best.rip k
 
mama anasema ukweli utajulikana,
ina maana kuna kitu anakijua ambacho bado
kimefichwa, si waseme ili wawe huru,
la sivyo na mimi narudia kusema lulu, rey, na mdogo wa kanumba
wanajua kilichomwua kanumba.
 
Kwanza Kanumba (The late) ni Kama Mwalimu aliyekuwa anatembea na Mwanafunzi wake!! Huyu Binti angeweza kufungua kesi ya udhalilishaji Kijinsia siku Nyingi! Kama angekuwa makini!! Ila kwa yote Yaliyotokea Tuwasamehe kwa pamoja
 
Mawakili hawahitaji kucheza na sheria. Atanufaika na msamaa wa Rais!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…